Kyokola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 1,402
- 1,894
Jana aliitwa clouds hakwenda akapigiwa roma akasema huo wimbo kaimba kitu kilichomtokea kweli,Na roma akasikitika sana maana ndoa ya stamina aliisimamia yeye pamoja na mkewe anasema imemtia doa maana ni ndoa yake ya kwanza kuisimamia inapovunjika inaonekana yeye kama msimamizi kashindwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani yeye Roma karudiana na mkewe? Sasa kama ya kwake tu ilivunjika kwa nini ashangae ya Stamina ikivunjika?
Sent using Jamii Forums mobile app