Stamina ft Atan-ASIWAZE "Not true story changa la macho in business wise"

Ni aibu mwanaume kuzungumzia maswala ya ndoa,mitandaoni kama mmeachana sema kwa ufupi tu tumeachana basi,mengine hayawahusu
mwamba lilimkaa sana rohoni na njia ya yeye kupata ahueni nikulizungumza, kila mtu ana aina yake ya kutoa kitu rohoni ili apate nafuu
 
sawa
 
@katoto kazuri ulielewa ulikua unamaanisha nini hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vip mkuu mke wa stamina amesharudi kwake maisha yanaendelea? Au bado wanafanya biashara

Au tuendelee kukazia Palepale kua wewe ni Mzee wa maono ya Ovyo Ovyo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…