Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Funguka mkuumh...usichokijua ni usiku wa kiza kwa kweli....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Funguka mkuumh...usichokijua ni usiku wa kiza kwa kweli....
Funguka mkuu
Makala zake kuzipata ni issue si unajua enzi zile ilikuwa ni analogy, but I think maktaba za taifa magazeti ya enzi hizo yatakuwepo unless kama huwa wanayateketeza baada ya miaka kadhaa
Huyu jamaa alikiuwa jembe kwerikweri, alikuwa akiliandikia gazeti la mfanyakazi na baadaye akanzisha la kwake motomoto. Naweza kumfananisha na Kubenea ila huyu alikuwa akivuaka mipaka pia. Licha ya kashfa ya Loliondo, pia aliibua kashfa ya mchele mbovu wa mohamed interprises na hata ya mauaji ya Ouko waziri wa mambo ya nje wa Kenya kipindi cha Moi. Lakini ndio hivyo kipindi hicho ukicheza na wenye madaraka na fedha maisha yako yanakuwa mafupi. Kaka umenikumbusha mbali sana!