Bepari la bariadi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2016
- 420
- 671
Unasema stendi ipo Kigoma?Ni upumbavu ambao haukubaliki wala kuvumilika stend kama hii kuendelea kukusanya mapato huku abiria wakitoa pesa zao kwaajiri ya huduma ya choo,Kisha wanaambiwa ni haja ndogo tu maana maji hakuna almost 6hrs now tokea kusitishwa kwa huduma hiyo muhimu.bila hata kutoa suluhisho la muda mfupi kama kujaza ndoo
Uzembe huu hauhitaji hata kuwa na elimu ya darasa la nne ili kutatua tatizo Kama hili.
Nikweli tumefikia level ya upumbavu huu?
Milipuko ya mangojwa ya kuambukiza Kweli tutaweza kuwadhibiti kwa mentality za kijinga hivi?
Hapa hapa Mjini Dar es salaam stand kuu ya MagufuliUnasema stendi ipo Kigoma?
Aisee..!Kwani si mliambiwa muache mavi yenu nyumbani, au mmesahau? 🤣🤣🤣.
Stand ipi hiyoo
Unashangaa hilo,Stand ya Mkoa wa Rukwa haina hiyo huduma kabisaa ndio utaelewaNi upumbavu ambao haukubaliki wala kuvumilika stend kuu kama hii ya Magufuli Mbezi louis kuendelea kukusanya mapato huku abiria wakitoa pesa zao kwaajiri ya huduma ya choo,Kisha wanaambiwa ni haja ndogo tu maana maji hakuna almost 6hrs now tokea kusitishwa kwa huduma hiyo muhimu.bila hata kutoa suluhisho la muda mfupi kama kujaza ndoo
Uzembe huu hauhitaji hata kuwa na elimu ya darasa la nne ili kutatua tatizo Kama hili.
Nikweli tumefikia level ya upumbavu huu?
Milipuko ya mangojwa ya kuambukiza Kweli tutaweza kuwadhibiti kwa mentality za kijinga hivi?
Kwa Tanzania ningeshangaa sana kama sehemu kama hiyo stendi ingeendeshwa bila kutokea kasoro za kizembe namna hii. Mnashangaa utamaduni ambao tumejiwekea wenyewe. Uzembe na kutowajibika ndiyo utamaduni wetu hivyo msishangae. Bila kubadili mfumo ni bure. Inatakiwa tuwe na mfumo ambao uzembe kama huu ukitokea kesho yake wahusika wote wanafukuzwa kazi.Ni upumbavu ambao haukubaliki wala kuvumilika stend kuu kama hii ya Magufuli Mbezi louis kuendelea kukusanya mapato huku abiria wakitoa pesa zao kwaajiri ya huduma ya choo,Kisha wanaambiwa ni haja ndogo tu maana maji hakuna almost 6hrs now tokea kusitishwa kwa huduma hiyo muhimu.bila hata kutoa suluhisho la muda mfupi kama kujaza ndoo
Uzembe huu hauhitaji hata kuwa na elimu ya darasa la nne ili kutatua tatizo Kama hili.
Nikweli tumefikia level ya upumbavu huu?
Milipuko ya mangojwa ya kuambukiza Kweli tutaweza kuwadhibiti kwa mentality za kijinga hivi?
Hivi wanakua wamesahau au? 😂 Aisee Watz ni kiboko!Unashangaa hilo,Stand ya Mkoa wa Rukwa haina hiyo huduma kabisaa ndio utaelewa
Bora huko ni upcountry hakuna population kama hii hapa.Unashangaa hilo,Stand ya Mkoa wa Rukwa haina hiyo huduma kabisaa ndio utaelewa
Makusudi,walijenga mastand pesa ikakata sasa kuficha aibu wakaamuru stand zitumike hivyo hivyo bila kuwepo miundombinu ya maji na vyooHivi wanakua wamesahau au? 😂 Aisee Watz ni kiboko!
Chooni kuwa sehemu chafu kabisa yenye kinyaa ni utamaduni ambao tumeujenga siku nyingi na kuja kuuondoa itachukuwa muda mrefu sana. Utashangaa hata nyumbani kwa watu wameshaamua vyooni ni sehemu inayostahili iwe chafu. Na funga kazi ya yote unakuta kila choo unachoingia kinakuwa na ndoo moja iliyojazwa maji na kopo kwa pembeni eti ni maji ya kutawazia!! Kila mtu baada ya kujisaidia anachovya kopo ndani ya choo halafu anafanya shughuli yake. Ni kinyaa!!!! Ni chafu wa hali ya juu huu!!! NB: Sabuni, bomba la kunawa mikono na toilet paper ni vitu vilivyopigwa marufuku kwenye vyoo vingi vya Bongo.Katika vitu nimegundua hatujali sisi waswahili ni choo. Unakuta choo kiko mahali pa umma lakini ni pachafu kupita maelezo. Unakuta watu wamevaa masuti mazito mazito lakini hivyo vyoo wanavyoenda kujisaidia ni bonge la aibu.
Ngoja nikaombe tendaHapa hapa Mjini Dar es salaam stand kuu ya Magufuli
Choo ndio kipimo cha akili ya mtuKatika vitu nimegundua hatujali sisi waswahili ni choo. Unakuta choo kiko mahali pa umma lakini ni pachafu kupita maelezo. Unakuta watu wamevaa masuti mazito mazito lakini hivyo vyoo wanavyoenda kujisaidia ni bonge la aibu.
Familia isiyozidi watu 10 inakuwa hata na vyanzo zaidi ya vinne vya maji;You can imagine mtu na nyumba yake moja anakiwa na visima hata viwili Sasa stand kama hii inainginza how much per hour?