Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Fisiemu ni laana kwa nchi hii! Hata Nyerere alikimbilia kudai uhuru kwa mihemko ili awe rais TU! Uhuru ungedaiwa sasa!Nina week nzima hapa Kahama, nimezunguka maeneo kadhaaa, ni AIBU kwa eneo kama hili lenye mapato makubwa kushindwa kabisa kujenga stand hata moja yenye hadhi.
Inayoitwa stand kuu ni kama zizi la kitimoto, Yaani Mvua kidogo pamejaa tope, Wana Choo ni kichafu na Huduma suni, Yaani unakutana na UTI mlangoni.
Kuna stand inaitwa Dodoma, iko barabara ya kuelekea Wilaya ya Ushetu, hapa sidhani kama kuna hata Choo, na imagine kuna Watu wako getini wanakusanya mapato.
Stand ya TATU iko katikati ya mji, haiko mbali Sana na Ile inayoitwa stand kuu, hapa napo ni uchochoro umegeuzwa kuitwa stand, hapana shading wala hata waiting lounges.
Kahama ilivyokua na mawe wameshindwa hata kumwaga kokoto (changarawe) kupunguza vumbi na tope....
Stand imejaa takataka Tu na kuna wamama wanauza chakula hapo. Hizi stand ukumbuke zinahudumia Mabasi ya Bukoba, Mwanza, Geita, Shinyanga, Kigoma, Arusha, Dodoma, Dar , na Wilaya nyingine za jiraniView attachment 3286040View attachment 3286041View attachment 3286042View attachment 3286043View attachment 3286042
Tanzania mmerogwa nyie Sio bure aiseee
Taifa la tanzania taifa la ccmNina week nzima hapa Kahama, nimezunguka maeneo kadhaaa, ni AIBU kwa eneo kama hili lenye mapato makubwa kushindwa kabisa kujenga stand hata moja yenye hadhi.
Inayoitwa stand kuu ni kama zizi la kitimoto, Yaani Mvua kidogo pamejaa tope, Wana Choo ni kichafu na Huduma suni, Yaani unakutana na UTI mlangoni.
Kuna stand inaitwa Dodoma, iko barabara ya kuelekea Wilaya ya Ushetu, hapa sidhani kama kuna hata Choo, na imagine kuna Watu wako getini wanakusanya mapato.
Stand ya TATU iko katikati ya mji, haiko mbali Sana na Ile inayoitwa stand kuu, hapa napo ni uchochoro umegeuzwa kuitwa stand, hapana shading wala hata waiting lounges.
Kahama ilivyokua na mawe wameshindwa hata kumwaga kokoto (changarawe) kupunguza vumbi na tope....
Stand imejaa takataka Tu na kuna wamama wanauza chakula hapo. Hizi stand ukumbuke zinahudumia Mabasi ya Bukoba, Mwanza, Geita, Shinyanga, Kigoma, Arusha, Dodoma, Dar , na Wilaya nyingine za jiraniView attachment 3286040View attachment 3286041View attachment 3286042View attachment 3286043View attachment 3286042
Tanzania mmerogwa nyie Sio bure aiseee
Aisee! Wewe ni funga KAZI kabisa! Umechafukwa wewe!Huyu rais haiwezekani kumteka na kumuuza?
Exactly π―Wako bize kuhujumu chaguzi na kuidhoofisha Chadema mambo ya msingi hawana habari nayo
Elimu ya Wana CCM Wengi ni bure kabisaCCM kazi zake ni kudanganya wananchi eti CHADEMA kinaleta Ebola.
Ngoja waje wajibu, watasingizia CHADEMASo wanasema ni mkoa wa kimapato kwamba imekuaje
Mji uliojaa dhahabu, mchele, mahindi na karanga..... inafikirisha akili za VIONGOZI wetu waiba KuraDuuh stand utadhani ni vichochoro vya Buza kwa mama kibonge.
πππππ