Stand za Mabasi Kahama Mjini ni AIBU ya Taifa kwa niaba ya CCM

Hafla hiyo imefanyika Mapema leo kwenye eneo litakalotekelezwa mradi huo Mtaa wa Mbulu, kata ya Mhongolo kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Kahama
Mwaka wa uchaguzi huu, subiri utaona kama hio miezi 12 haitageuka na kuwa miaka
 
Hakuna mradi nchi hii ambao unakamilika ndani ya muda wa mkataba hata usipokuwa mwaka wa uchaguzi.

BTW:Mkataba umesainiwa Dec 2024.
Huu ni uzembe wala Sio sifa. Ila mradi wa barabara kutoka Kibondo kwenda Kakonko chini ya Kampuni ya CHICO uliisha ndani ya muda.....
 
Nina week nzima hapa Kahama, nimezunguka maeneo kadhaaa, ni AIBU kwa eneo kama hili lenye mapato makubwa kushindwa kabisa kujenga stand hata moja yenye hadhi.

Inayoitwa stand kuu ni kama zizi la kitimoto, Yaani Mvua kidogo pamejaa tope, Wana Choo ni kichafu na Huduma suni, Yaani unakutana na UTI mlangoni.

Kuna stand inaitwa Dodoma, iko barabara ya kuelekea Wilaya ya Ushetu, hapa sidhani kama kuna hata Choo, na imagine kuna Watu wako getini wanakusanya mapato.

Stand ya TATU iko katikati ya mji, haiko mbali Sana na Ile inayoitwa stand kuu, hapa napo ni uchochoro umegeuzwa kuitwa stand, hapana shading wala hata waiting lounges.

Kahama ilivyokua na mawe wameshindwa hata kumwaga kokoto (changarawe) kupunguza vumbi na tope....

Stand imejaa takataka Tu na kuna wamama wanauza chakula hapo. Hizi stand ukumbuke zinahudumia Mabasi ya Bukoba, Mwanza, Geita, Shinyanga, Kigoma, Arusha, Dodoma, Dar , na Wilaya nyingine za jiraniView attachment 3286040View attachment 3286041View attachment 3286042View attachment 3286043View attachment 3286042

Tanzania mmerogwa nyie Sio bure aiseee
Haiwezekani kila kitu kikajengwa kwa wakati mmoja. Itafikia hatua patajengwa tu.
 
Hizo pesa halmashauri mnakusanya Inaenda kwa mifuko tuuh!! Daaah nchi inatafunwa!.
 
Wewe ndio huna akili. Chadema imewachukua miaka 35 kujenga Ofisi ya Makao Makuu. Walikuwa hawana akili? Walikuwa hawana hela? Hata Roma haikujengwa siku moja Dogo!
Eeghh Ona akili mbovu hizi, ukiandika uwe unajisikiliza
 
Nina week nzima hapa Kahama, nimezunguka maeneo kadhaaa, ni AIBU kwa eneo kama hili lenye mapato makubwa kushindwa kabisa kujenga stand hata moja yenye hadhi.

Inayoitwa stand kuu ni kama zizi la kitimoto, Yaani Mvua kidogo pamejaa tope, Wana Choo ni kichafu na Huduma suni, Yaani unakutana na UTI mlangoni.

Kuna stand inaitwa Dodoma, iko barabara ya kuelekea Wilaya ya Ushetu, hapa sidhani kama kuna hata Choo, na imagine kuna Watu wako getini wanakusanya mapato.

Stand ya TATU iko katikati ya mji, haiko mbali Sana na Ile inayoitwa stand kuu, hapa napo ni uchochoro umegeuzwa kuitwa stand, hapana shading wala hata waiting lounges.

Kahama ilivyokua na mawe wameshindwa hata kumwaga kokoto (changarawe) kupunguza vumbi na tope....

Stand imejaa takataka Tu na kuna wamama wanauza chakula hapo. Hizi stand ukumbuke zinahudumia Mabasi ya Bukoba, Mwanza, Geita, Shinyanga, Kigoma, Arusha, Dodoma, Dar , na Wilaya nyingine za jiraniView attachment 3286040View attachment 3286041View attachment 3286042View attachment 3286043View attachment 3286042

Tanzania mmerogwa nyie Sio bure aiseee
Halafu imepewa hadhi ya jiji !!!
 
Si tunasikia kahama ni mji mzuri. Imekuaje tena
 
Halafu nzi wa kijani na njano wakifanya mkutano na wananchi utawasikia wanasema mwaka huu wa fedha hapa Kahama mama kaleta billion 7,539,006,419.08. Hawana adabu kabisa. Bata wahed!
 
Back
Top Bottom