Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
- Thread starter
-
- #21
Mwaka wa uchaguzi huu, subiri utaona kama hio miezi 12 haitageuka na kuwa miakaHafla hiyo imefanyika Mapema leo kwenye eneo litakalotekelezwa mradi huo Mtaa wa Mbulu, kata ya Mhongolo kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Kahama
Wanakopa wafungue bureau de changeInauma sana aisee!
Kukopa kote huko, pes zinaishia wapi sasa?
Mbona mambo ni hovyo maradufu?
Hakuna mradi nchi hii ambao unakamilika ndani ya muda wa mkataba hata usipokuwa mwaka wa uchaguzi.Mwaka wa uchaguzi huu, subiri utaona kama hio miezi 12 haitageuka na kuwa miaka
Huu ni uzembe wala Sio sifa. Ila mradi wa barabara kutoka Kibondo kwenda Kakonko chini ya Kampuni ya CHICO uliisha ndani ya muda.....Hakuna mradi nchi hii ambao unakamilika ndani ya muda wa mkataba hata usipokuwa mwaka wa uchaguzi.
BTW:Mkataba umesainiwa Dec 2024.
Haiwezekani kila kitu kikajengwa kwa wakati mmoja. Itafikia hatua patajengwa tu.Nina week nzima hapa Kahama, nimezunguka maeneo kadhaaa, ni AIBU kwa eneo kama hili lenye mapato makubwa kushindwa kabisa kujenga stand hata moja yenye hadhi.
Inayoitwa stand kuu ni kama zizi la kitimoto, Yaani Mvua kidogo pamejaa tope, Wana Choo ni kichafu na Huduma suni, Yaani unakutana na UTI mlangoni.
Kuna stand inaitwa Dodoma, iko barabara ya kuelekea Wilaya ya Ushetu, hapa sidhani kama kuna hata Choo, na imagine kuna Watu wako getini wanakusanya mapato.
Stand ya TATU iko katikati ya mji, haiko mbali Sana na Ile inayoitwa stand kuu, hapa napo ni uchochoro umegeuzwa kuitwa stand, hapana shading wala hata waiting lounges.
Kahama ilivyokua na mawe wameshindwa hata kumwaga kokoto (changarawe) kupunguza vumbi na tope....
Stand imejaa takataka Tu na kuna wamama wanauza chakula hapo. Hizi stand ukumbuke zinahudumia Mabasi ya Bukoba, Mwanza, Geita, Shinyanga, Kigoma, Arusha, Dodoma, Dar , na Wilaya nyingine za jiraniView attachment 3286040View attachment 3286041View attachment 3286042View attachment 3286043View attachment 3286042
Tanzania mmerogwa nyie Sio bure aiseee
Hizo pesa halmashauri mnakusanya Inaenda kwa mifuko tuuh!! Daaah nchi inatafunwa!.Nina week nzima hapa Kahama, nimezunguka maeneo kadhaaa, ni AIBU kwa eneo kama hili lenye mapato makubwa kushindwa kabisa kujenga stand hata moja yenye hadhi.
Inayoitwa stand kuu ni kama zizi la kitimoto, Yaani Mvua kidogo pamejaa tope, Wana Choo ni kichafu na Huduma suni, Yaani unakutana na UTI mlangoni.
Kuna stand inaitwa Dodoma, iko barabara ya kuelekea Wilaya ya Ushetu, hapa sidhani kama kuna hata Choo, na imagine kuna Watu wako getini wanakusanya mapato.
Stand ya TATU iko katikati ya mji, haiko mbali Sana na Ile inayoitwa stand kuu, hapa napo ni uchochoro umegeuzwa kuitwa stand, hapana shading wala hata waiting lounges.
Kahama ilivyokua na mawe wameshindwa hata kumwaga kokoto (changarawe) kupunguza vumbi na tope....
Stand imejaa takataka Tu na kuna wamama wanauza chakula hapo. Hizi stand ukumbuke zinahudumia Mabasi ya Bukoba, Mwanza, Geita, Shinyanga, Kigoma, Arusha, Dodoma, Dar , na Wilaya nyingine za jiraniView attachment 3286040View attachment 3286041View attachment 3286042View attachment 3286043View attachment 3286042
Tanzania mmerogwa nyie Sio bure aiseee
HahahaahaahhHizo pesa halmashauri mnakusanya Inaenda kwa mifuko tuuh!! Daaah nchi inatafunwa!.
Ona akili za Kada wa CCM huyuHaiwezekani kila kitu kikajengwa kwa wakati mmoja. Itafikia hatua patajengwa tu.
Hakuna mteja atamnunua huyu kimeoHuyu rais haiwezekani kumteka na kumuuza?
Kwa kweli,Mji uliojaa dhahabu, mchele, mahindi na karanga..... inafikirisha akili za VIONGOZI wetu waiba Kura
Wewe ndio huna akili. Chadema imewachukua miaka 35 kujenga Ofisi ya Makao Makuu. Walikuwa hawana akili? Walikuwa hawana hela? Hata Roma haikujengwa siku moja Dogo!Ona akili za Kada wa CCM huyu
Eeghh Ona akili mbovu hizi, ukiandika uwe unajisikilizaWewe ndio huna akili. Chadema imewachukua miaka 35 kujenga Ofisi ya Makao Makuu. Walikuwa hawana akili? Walikuwa hawana hela? Hata Roma haikujengwa siku moja Dogo!
Huna uwezo wa kujibu hoja zangu wewe! Kwanza ningelishangaa kama ungeliweza.Eeghh Ona akili mbovu hizi, ukiandika uwe unajisikiliza
Wewe Una hoja? Seriously? Umenishangaza!Huna uwezo wa kujibu hoja zangu wewe! Kwanza ningelishangaa kama ungeliweza.
Halafu imepewa hadhi ya jiji !!!Nina week nzima hapa Kahama, nimezunguka maeneo kadhaaa, ni AIBU kwa eneo kama hili lenye mapato makubwa kushindwa kabisa kujenga stand hata moja yenye hadhi.
Inayoitwa stand kuu ni kama zizi la kitimoto, Yaani Mvua kidogo pamejaa tope, Wana Choo ni kichafu na Huduma suni, Yaani unakutana na UTI mlangoni.
Kuna stand inaitwa Dodoma, iko barabara ya kuelekea Wilaya ya Ushetu, hapa sidhani kama kuna hata Choo, na imagine kuna Watu wako getini wanakusanya mapato.
Stand ya TATU iko katikati ya mji, haiko mbali Sana na Ile inayoitwa stand kuu, hapa napo ni uchochoro umegeuzwa kuitwa stand, hapana shading wala hata waiting lounges.
Kahama ilivyokua na mawe wameshindwa hata kumwaga kokoto (changarawe) kupunguza vumbi na tope....
Stand imejaa takataka Tu na kuna wamama wanauza chakula hapo. Hizi stand ukumbuke zinahudumia Mabasi ya Bukoba, Mwanza, Geita, Shinyanga, Kigoma, Arusha, Dodoma, Dar , na Wilaya nyingine za jiraniView attachment 3286040View attachment 3286041View attachment 3286042View attachment 3286043View attachment 3286042
Tanzania mmerogwa nyie Sio bure aiseee
Si tunasikia kahama ni mji mzuri. Imekuaje tenaNina week nzima hapa Kahama, nimezunguka maeneo kadhaaa, ni AIBU kwa eneo kama hili lenye mapato makubwa kushindwa kabisa kujenga stand hata moja yenye hadhi.
Inayoitwa stand kuu ni kama zizi la kitimoto, Yaani Mvua kidogo pamejaa tope, Wana Choo ni kichafu na Huduma suni, Yaani unakutana na UTI mlangoni.
Kuna stand inaitwa Dodoma, iko barabara ya kuelekea Wilaya ya Ushetu, hapa sidhani kama kuna hata Choo, na imagine kuna Watu wako getini wanakusanya mapato.
Stand ya TATU iko katikati ya mji, haiko mbali Sana na Ile inayoitwa stand kuu, hapa napo ni uchochoro umegeuzwa kuitwa stand, hapana shading wala hata waiting lounges.
Kahama ilivyokua na mawe wameshindwa hata kumwaga kokoto (changarawe) kupunguza vumbi na tope....
Stand imejaa takataka Tu na kuna wamama wanauza chakula hapo. Hizi stand ukumbuke zinahudumia Mabasi ya Bukoba, Mwanza, Geita, Shinyanga, Kigoma, Arusha, Dodoma, Dar , na Wilaya nyingine za jiraniView attachment 3286040View attachment 3286041View attachment 3286042View attachment 3286043View attachment 3286042
Tanzania mmerogwa nyie Sio bure aiseee
eti Nini?Huyu rais haiwezekani kumteka na kumuuza?