Stand za Mabasi Kahama Mjini ni AIBU ya Taifa kwa niaba ya CCM

Tatizo hakuna Tume HURU wanakahama wangeikataa CCM mapema sana.
 
Huenda hiyo Stendi sio chanzo tegemeo cha mapato kwenye halmashauri ya hapo Kahama .
 
Ni aibu kwa mapato wanayokusanya Kahama serekali kuwatelekeza kiasi hicho, stand ina mlango mmoja tu tena zikiingia bus 6 stendi inajaa hamna pakugeuzia gari

Nyie Majizi ya Ccm hivi hamuoni aibu?
 
Mikoa ya kanda ya ziwa imekaa kichawi sana hataa geita..n mwendo huu huu japo hapa KAHAMA ujenzi wa stend yaa kisasa umeaza hapaa maeneo ya phantom uwanja wa lowasa... Japo wapo wamefka 1%
Kwa hiyo wachawi wanazuia serikali isilete maendeleo?.
Wewe utakuwa ni mchawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…