Tetesi: Standard Chartered Bank kufunga operation zake Tanzania

Chawa kazini.

Hao wanao kosa hizo kazi uanzani watakula wapi?

Uber wameweka mambo wazi kabisa.
 
Nikajua unautetezi mwingine mzuri.

Hii hauna ushahidi hata mdogo zaidi ya Siasa tu.
 
Bora umechangia kitaalam, siasa zilishapigwa nyingi hapa.

Hii bank inashusha gharama za uendeshaji Kwa kujitoa kwenye masoko ambayo hayana faida. Ni wenyewe wameshindwa kujiendesha na kujiimarisha kwenye soko la TZ. Ushindani umekuwa mgumu na mkubwa

Pia huko middle east wanakimbia.. Angola, Zimbabwe, ivory coast et al

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hyo mikopo waliyotukopesha ndio imekula kwao sio?

Habari njema hii
 
Kuna hii habari kwamba Standard Chartered Bank wanataka kufungasha vilago ikoje?

Kama ni kweli, Juzi kati tuliambiwa, mama kayafufua mabenki hili halijafufuka?.

NB; Standard Chartered Bank ni banker wangu
Ni banker wangu pia ila ni kwamba wanafunga virago na kufocus zaidi penye faida zaidi.
 
Kama hakuna biashara watabaki wanafaya nini? Mama hajakuza kipato cha watu.
 
Benki kwa hapa nyumbani hazina future kubwa Simu ndio kila kitu kwa hapa nyumbani.

Ndio maana bunge linatunga sheria kuruhusu mikopo kwa njia ya simu

Na kingmakers wananunua kampuni za Simu.

Kwa mwaka tu zinafanyika transactions za matrilioni kwa njia ya simu.
 
Noted.
 
Agiza Heineken nitakulipia
 
Wanakimbia kashfa ya kutumika kutakatisha pesa za mabilioni.. Sakata la IPTL nknk.. Ni taasisi ya fedha iliyochafuka machoni pa watanzania na haiaminiki tena
Wewe ndo huiamini.

Ila ni benki bora kuliko nyingi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…