JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
- Thread starter
- #61
Chawa kazini.Kwa siasa za kijinga hamjambo.Ni.kweli kayafufua na yanapiga mpunga mrefu..
StanChart wanafunga biashara za Nanking kwa Nchi 8 ikiwemo Tzn kwa sababu wanasema wanabadili biashara kutoka kuwakopesha wateja wa kawaida hadi kuwa inakopesha Nchi ,taasisi nk yaani wanahama kwa customers wa kawaida na kuhamia kwenye corporate.
So this has nothing to do with Mama,hata Ubber Wana sepa
Ukisepa wenzako wanaingia 👇
View attachment 2187898
Hao wanao kosa hizo kazi uanzani watakula wapi?
Uber wameweka mambo wazi kabisa.