Tetesi: Standard Chartered Bank kufunga operation zake Tanzania

Tetesi: Standard Chartered Bank kufunga operation zake Tanzania

Kwa siasa za kijinga hamjambo.Ni.kweli kayafufua na yanapiga mpunga mrefu..

StanChart wanafunga biashara za Nanking kwa Nchi 8 ikiwemo Tzn kwa sababu wanasema wanabadili biashara kutoka kuwakopesha wateja wa kawaida hadi kuwa inakopesha Nchi ,taasisi nk yaani wanahama kwa customers wa kawaida na kuhamia kwenye corporate.

So this has nothing to do with Mama,hata Ubber Wana sepa

Ukisepa wenzako wanaingia 👇

View attachment 2187898
Chawa kazini.

Hao wanao kosa hizo kazi uanzani watakula wapi?

Uber wameweka mambo wazi kabisa.
 
Chawa kazini.

Hao wanao kosa hizo kazi uanzani watakula wapi?

Uber wameweka mambo wazi kabisa.
Una akili za kwendea msalani tuu.

Kama una akili basi utaelewa sababu zao hapa chini 👇

Screenshot_20220415-094955.png


Screenshot_20220415-094816.png
 
Katika kipindi cha miaka yake mitzno Magufuli kavuruga sana uchumi ili kuwafurshisha ninyi watu wake.
Matokeo ya kuvuruga uchumi yanachukua muda mrefu na hata ukienda majengo mbali mbali jijini DSM bado yako wazi na viwanda vingine bado vimefungwa.
Business confidence haijarudi 100%.
Nikajua unautetezi mwingine mzuri.

Hii hauna ushahidi hata mdogo zaidi ya Siasa tu.
 
Business rationalization. So they are back to the kind of business, Citibank Tanzania is pursuing.

No individual account, unless linked with a Corporate account (consumer)

No SMEs, (business) and no High Networth (private).

And for corporates, a higher threshold definition. Normally, Corporate Banking targets Multinationals, first with British or European links etc, then Regional Corporates etc, for local, only the top tier. Bakhressa, etc.

Reason: Consumer and Private accounts: probably higher risks associated with high networth individuals whose wealth could present serious challenges to monitor but higher regulatory and reputation risks.

Local corporates and Businesses: difficulties to trace ownership and political influences.

Overall, probably, Stanchart have challenges from NMB, CRDB, DTB, and other Regional banks for competitiveness versus cost of doing business in those categories. So little growth (no appetite) since not much value can they add to what NMB etc are already offering.
Bora umechangia kitaalam, siasa zilishapigwa nyingi hapa.

Hii bank inashusha gharama za uendeshaji Kwa kujitoa kwenye masoko ambayo hayana faida. Ni wenyewe wameshindwa kujiendesha na kujiimarisha kwenye soko la TZ. Ushindani umekuwa mgumu na mkubwa

Pia huko middle east wanakimbia.. Angola, Zimbabwe, ivory coast et al

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hyo mikopo waliyotukopesha ndio imekula kwao sio?

Habari njema hii
 
Kuna hii habari kwamba Standard Chartered Bank wanataka kufungasha vilago ikoje?

Kama ni kweli, Juzi kati tuliambiwa, mama kayafufua mabenki hili halijafufuka?.

NB; Standard Chartered Bank ni banker wangu
Ni banker wangu pia ila ni kwamba wanafunga virago na kufocus zaidi penye faida zaidi.
 
Kama hakuna biashara watabaki wanafaya nini? Mama hajakuza kipato cha watu.
 
Benki kwa hapa nyumbani hazina future kubwa Simu ndio kila kitu kwa hapa nyumbani.

Ndio maana bunge linatunga sheria kuruhusu mikopo kwa njia ya simu

Na kingmakers wananunua kampuni za Simu.

Kwa mwaka tu zinafanyika transactions za matrilioni kwa njia ya simu.
 
Benki kwa hapa nyumbani hazina future kubwa Simu ndio kila kitu kwa hapa nyumbani.

Ndio maana bunge linatunga sheria kuruhusu mikopo kwa njia ya simu

Na kingmakers wananunua kampuni za Simu.

Kwa mwaka tu zinafanyika transactions za matrilioni kwa njia ya simu.
Noted.
 
Benki kwa hapa nyumbani hazina future kubwa Simu ndio kila kitu kwa hapa nyumbani.

Ndio maana bunge linatunga sheria kuruhusu mikopo kwa njia ya simu

Na kingmakers wananunua kampuni za Simu.

Kwa mwaka tu zinafanyika transactions za matrilioni kwa njia ya simu.
Agiza Heineken nitakulipia
 
Wanakimbia kashfa ya kutumika kutakatisha pesa za mabilioni.. Sakata la IPTL nknk.. Ni taasisi ya fedha iliyochafuka machoni pa watanzania na haiaminiki tena
Wewe ndo huiamini.

Ila ni benki bora kuliko nyingi tu.
 
Back
Top Bottom