Tetesi: Standard Chartered Bank kufunga operation zake Tanzania

Tetesi: Standard Chartered Bank kufunga operation zake Tanzania

Kwa sasa Tanzania siyo nchi salama sana kwa wawekezaji, kauli ya mtu mmoja ndio sheria. Huyo mtu akitamka kila kitu kinabadilika, investors wanataka kuwa na uhakika na uwekezaji wao.

Huwa tunaona katiba mpya inawahusu wanasiasa tu, ajira za watu zinaenda kuondoka hapo, na hasara zingine kibao...!
 
Kuna hii habari kwamba Standard Chartered Bank wanataka kufungasha vilago ikoje?

Kama ni kweli, Juzi kati tuliambiwa, mama kayafufua mabenki hili halijafufuka?.

NB; Standard Chartered Bank ni banker wangu
Here for good imefika mwisho safari hii ama?.
 
Kuna hii habari kwamba Standard Chartered Bank wanataka kufungasha vilago ikoje?

Kama ni kweli, Juzi kati tuliambiwa, mama kayafufua mabenki hili halijafufuka?.

NB; Standard Chartered Bank ni banker wangu
Mama anaupiga mwingi sana..
Mama anafungua nchi..
Mi-5 tena🙄
 
Kwa sasa Tanzania siyo nchi salama sana kwa wawekezaji, kauli ya mtu mmoja ndio sheria. Huyo mtu akitamka kila kitu kinabadilika, investors wanataka kuwa na uhakika na uwekezaji wao.

Huwa tunaona katiba mpya inawahusu wanasiasa tu, ajira za watu zinaenda kuondoka hapo, na hasara zingine kibao...!
Tigo imeondoka Tanzania, kuna ajira imepotea? Standard Charted kuondoka, haimaanishi benki imefilisika, hapana, bali wanauza share zao. na benki inaendelea kama kawaida.
 
Kiuchumi ni mbaya maana investments kwa wafanyabiashara wadogo hazitakua. Hivyo kuendelea kushikwa na Moguls.
Maanina.. si kila kukicha wanaua SME's wanahis biashara ni kwa wakubwa tuu sasa ngoja tuone.. wenyew wanasema wafanya biashara wadogo hawalipi kosi.. hahaha.. kitendo cha kufukuza machinga tu road kimeathiri 80% ya biashara na ndomana maisha yamekua magum sana.. unaweza ukadharau ila wa Tz weng walikua wanafanya biashara huko barabaran.. mzunguko wa pesa umeharibika.. hao machinga ndio walikua wateja wa mabank.. vile vibanda ulikua unaona road ndio walikua wakopaj wakubwa wa hivvyo vibank uchwara mitaan na saccos.. tutaelewana tu
 
Ukifuatilia wachangiaji wengi, Kuna tatizo mahala nchi hii.

Ifikie hatua Watanzania tujue nini tunataka kwa wakati gani, aliyofanya Nyerere kwa wakati wake yalikua sahihi kwa wakati huo, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Maguful pia.

Tunatakiwa kujua tunataka nini kwa sisi kujikwamua lakini kutwa nzima watu wanalinganisha serikali zilizopita, unafikiri Kuna Rais atakaa Ikulu na kutulia? Atakua anafanya kama anashindana na mtangulizi wake ilihali alitakiwa kupeleka Tanzania mbele bila kujali nani alifanya nini.

Matokeo yake tunadumaa na kuamini maendeleo ni kumzidi mtangulizi wako.

Tuanze kuilinganisha Tanzania na nchi zilizoendelea, tuangalie mataifa ya ulaya, China na Marekani yako wapi, wanapiga hatua gani za kimaendeleo.

Haya Magenge yetu ni hovyo na yanakua kama laana kizazi hadi kizazi.

Kweli mtu anakaa na kusema fulani kaleta maendeleo sio kama fulani, Tanzania ina maendeleo? Shuwain.
Umeandika upumbavu.. yaan hali ya uchumi inazid kuwa mbaya kila kukicha na matatzo mengne kama umeme etc halaf unataka watu wasiione tofaut na wasiseme...? Sema hiviii wew ndo wa hovyo.. na wa ajabu.. kwann watu wasilinganishe?..
 
Kuna hii habari kwamba Standard Chartered Bank wanataka kufungasha vilago ikoje?

Kama ni kweli, Juzi kati tuliambiwa, mama kayafufua mabenki hili halijafufuka?.

NB; Standard Chartered Bank ni banker wangu
Wanakimbia kashfa ya kutumika kutakatisha pesa za mabilioni.. Sakata la IPTL nknk.. Ni taasisi ya fedha iliyochafuka machoni pa watanzania na haiaminiki tena
 
Kuna hii habari kwamba Standard Chartered Bank wanataka kufungasha vilago ikoje?

Kama ni kweli, Juzi kati tuliambiwa, mama kayafufua mabenki hili halijafufuka?.

NB; Standard Chartered Bank ni banker wangu
Kwa siasa za kijinga hamjambo.Ni.kweli kayafufua na yanapiga mpunga mrefu..

StanChart wanafunga biashara za Nanking kwa Nchi 8 ikiwemo Tzn kwa sababu wanasema wanabadili biashara kutoka kuwakopesha wateja wa kawaida hadi kuwa inakopesha Nchi ,taasisi nk yaani wanahama kwa customers wa kawaida na kuhamia kwenye corporate.

So this has nothing to do with Mama,hata Ubber Wana sepa

Ukisepa wenzako wanaingia 👇

Screenshot_20220415-064911.png
 
Mlisema Magufuli alikua anakimbiza wawekezaji.sasa hawa nao ni Magufuli kawakimbiza?
Katika kipindi cha miaka yake mitano Magufuli kavuruga sana uchumi ili kuwafurahisha ninyi watu wake.
Matokeo ya kuvuruga uchumi yanachukua muda mrefu na hata ukienda majengo mbali mbali jijini DSM bado yako wazi na viwanda vingine bado vimefungwa.
Business confidence haijarudi 100%.
 
Back
Top Bottom