amadala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,265
- 12,268
Ningeweza nini?Wewe ungeweza ?
What's my position there?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningeweza nini?Wewe ungeweza ?
Kwa hiyo ulipewa kazi ya kufuatilia vituo vyote? Wewe ni nani hasa huko?Television zote nchi nzima habari ya kwanza ni bwawa la Mwalimu Nyerere kujazwa maji. Ilikuwa shangwe na vigelegele nchi nzima kumpongeza.
Ni star tv tu ndio walirusha habari hiyo kama ya mwisho, ishara ya wazi ya chuki kubwa waliyo nayo dhidi ya SSH.
Wahusika wanamtumia Alloyce Nyanda kama kiongozi wa mashambulizi dhidi ya awamu ya sita, na waandishi wote wa kituo hicho Wana maelekezo ya kualika watu wa kuitukana serikali kwa mfululizo.
Aloyce Nyanda ni mmoja ya waandishi waliofaidi fedha haramu za Sabaya, na mara kadhaa alitumiwa tiketi za ndege kwenda Arusha kufanya naye mahojiano, na akilipwa na Sabaya badala ya startv. Baada ya mahojiano, walikunywa pombe na kuzunguka na wanawake.
Hivi karibuni kituo hicho kilitumika kutakatisha mambo ya halmashauri ya wilaya ya ukerewe yaliyojaa uovu
Ndio ndio ndugu mkereketwa......!!! Wananchi hawataki maji wanataka Umeme tulivu.....!! Naona unatafuta ugali wa tumbo lako kwa nguvu kiasi cha kuhatarisha maisha ya watu.....!!!Television zote nchi nzima habari ya kwanza ni bwawa la Mwalimu Nyerere kujazwa maji. Ilikuwa shangwe na vigelegele nchi nzima kumpongeza.
Ni star tv tu ndio walirusha habari hiyo kama ya mwisho, ishara ya wazi ya chuki kubwa waliyo nayo dhidi ya SSH.
Wahusika wanamtumia Alloyce Nyanda kama kiongozi wa mashambulizi dhidi ya awamu ya sita, na waandishi wote wa kituo hicho Wana maelekezo ya kualika watu wa kuitukana serikali kwa mfululizo.
Aloyce Nyanda ni mmoja ya waandishi waliofaidi fedha haramu za Sabaya, na mara kadhaa alitumiwa tiketi za ndege kwenda Arusha kufanya naye mahojiano, na akilipwa na Sabaya badala ya startv. Baada ya mahojiano, walikunywa pombe na kuzunguka na wanawake.
Hivi karibuni kituo hicho kilitumika kutakatisha mambo ya halmashauri ya wilaya ya ukerewe yaliyojaa uovu
Ndugu elimu yako ni darasa la ngap???Nilikuwa naangalia star tv, lakini habari za vibaka wa Geita zikawa na umuhimu kuliko mradi huo wa kihistoria
unahakika au umbea tu?Television zote nchi nzima habari ya kwanza ni bwawa la Mwalimu Nyerere kujazwa maji. Ilikuwa shangwe na vigelegele nchi nzima kumpongeza.
Ni star tv tu ndio walirusha habari hiyo kama ya mwisho, ishara ya wazi ya chuki kubwa waliyo nayo dhidi ya SSH.
Wahusika wanamtumia Alloyce Nyanda kama kiongozi wa mashambulizi dhidi ya awamu ya sita, na waandishi wote wa kituo hicho Wana maelekezo ya kualika watu wa kuitukana serikali kwa mfululizo.
Aloyce Nyanda ni mmoja ya waandishi waliofaidi fedha haramu za Sabaya, na mara kadhaa alitumiwa tiketi za ndege kwenda Arusha kufanya naye mahojiano, na akilipwa na Sabaya badala ya startv. Baada ya mahojiano, walikunywa pombe na kuzunguka na wanawake.
Hivi karibuni kituo hicho kilitumika kutakatisha mambo ya halmashauri ya wilaya ya ukerewe yaliyojaa uovu
Kwamba ALOYCE NYANDA ndo mmiliki wa star Hadi ajipangie habari ipi itoke,Television zote nchi nzima habari ya kwanza ni bwawa la Mwalimu Nyerere kujazwa maji. Ilikuwa shangwe na vigelegele nchi nzima kumpongeza.
Ni star tv tu ndio walirusha habari hiyo kama ya mwisho, ishara ya wazi ya chuki kubwa waliyo nayo dhidi ya SSH.
Wahusika wanamtumia Alloyce Nyanda kama kiongozi wa mashambulizi dhidi ya awamu ya sita, na waandishi wote wa kituo hicho Wana maelekezo ya kualika watu wa kuitukana serikali kwa mfululizo.
Aloyce Nyanda ni mmoja ya waandishi waliofaidi fedha haramu za Sabaya, na mara kadhaa alitumiwa tiketi za ndege kwenda Arusha kufanya naye mahojiano, na akilipwa na Sabaya badala ya startv. Baada ya mahojiano, walikunywa pombe na kuzunguka na wanawake.
Hivi karibuni kituo hicho kilitumika kutakatisha mambo ya halmashauri ya wilaya ya ukerewe yaliyojaa uovu
Nilikuwa naangalia star tv, lakini habari za vibaka wa Geita zikawa na umuhimu kuliko mradi huo wa kihistoria
Umeuliza Sababu ni NINI??Television zote nchi nzima habari ya kwanza ni bwawa la Mwalimu Nyerere kujazwa maji. Ilikuwa shangwe na vigelegele nchi nzima kumpongeza.
Ni star tv tu ndio walirusha habari hiyo kama ya mwisho, ishara ya wazi ya chuki kubwa waliyo nayo dhidi ya SSH.
Wahusika wanamtumia Alloyce Nyanda kama kiongozi wa mashambulizi dhidi ya awamu ya sita, na waandishi wote wa kituo hicho Wana maelekezo ya kualika watu wa kuitukana serikali kwa mfululizo.
Aloyce Nyanda ni mmoja ya waandishi waliofaidi fedha haramu za Sabaya, na mara kadhaa alitumiwa tiketi za ndege kwenda Arusha kufanya naye mahojiano, na akilipwa na Sabaya badala ya startv. Baada ya mahojiano, walikunywa pombe na kuzunguka na wanawake.
Hivi karibuni kituo hicho kilitumika kutakatisha mambo ya halmashauri ya wilaya ya ukerewe yaliyojaa uovu
Mkuu chukua pumzi, una tatizo.Television zote nchi nzima habari ya kwanza ni bwawa la Mwalimu Nyerere kujazwa maji. Ilikuwa shangwe na vigelegele nchi nzima kumpongeza.
Ni star tv tu ndio walirusha habari hiyo kama ya mwisho, ishara ya wazi ya chuki kubwa waliyo nayo dhidi ya SSH.
Wahusika wanamtumia Alloyce Nyanda kama kiongozi wa mashambulizi dhidi ya awamu ya sita, na waandishi wote wa kituo hicho Wana maelekezo ya kualika watu wa kuitukana serikali kwa mfululizo.
Aloyce Nyanda ni mmoja ya waandishi waliofaidi fedha haramu za Sabaya, na mara kadhaa alitumiwa tiketi za ndege kwenda Arusha kufanya naye mahojiano, na akilipwa na Sabaya badala ya startv. Baada ya mahojiano, walikunywa pombe na kuzunguka na wanawake.
Hivi karibuni kituo hicho kilitumika kutakatisha mambo ya halmashauri ya wilaya ya ukerewe yaliyojaa uovu
Huu no uzandiki na uchonganishi kumchonganisha Samia na Dialo. Kila kituo cha TV kina editorial independence yake, hivyo huku ni kuingilia editorial independence ya Sta TV kulazimisha habari ya Samia lazima iwe ya kwanza.. Tukio lilikuwa live tv zote hivyo sio lazima ku lead na old news. Star TV has all the right to run the newe kwenye segment yoyote or even not to run it al all. Enzi za Blaza, niliwahi kuuliza, Magufuli kutawala kurasa za mbele za magazeti, Je anastahili hata kama hazina impact, au wahariri wanajipendekeza?Television zote nchi nzima habari ya kwanza ni bwawa la Mwalimu Nyerere kujazwa maji. Ilikuwa shangwe na vigelegele nchi nzima kumpongeza.