Starehe visiwani ndani ya kisiwa cha Ukerewe, ule ni ulimwengu mwingine

Aisee vipi bei ya mbususu? Huku dar tunapigwa sana, mbushsu imeshafika 100k bao moja. Hatari hii
 
Shabiki wa yanga huyo
 
Kuna siku nitakuja kununua moja ya hivi visiwa.

Mleta mada umenichanganya kidogo, umesema huko Ukerewe wanavua samaki ila wanakula bata, embu dadavua.
Ndugu yangu huyu mleta mada kati ya vitu kasahau kusema kuwa vipi huko ukerewe ni UCHAWI !
Kule kurogwa ni wakati wowote tena ukifika kule lazima ujaribiwe!.
Wewe ogopa mahala ambapo kiongozi wa dini akiambiwa aende huko huko anaona kapewa mtihani mkubwa sana kwasababu kuna baadhi wamefika huko kutangaza neno la mungu usiku we akalala vizuri vyumbani mwao na asubuhi wakajikuta wamelala ufukweni mwa ziwa Victoria.
Ikiwa mahala wanawaroga hadi viongozi wa dini jua hapo mahala wachawi wameshindikana!.
 
Hakuna sehemu isiyokuwa na uchawi
 
Mkuu unayo pdf ya kitabu cha Rosa Mistika?

Nitumie kama unacho.
 
Ukerewe gani!!? Unasemea Ukerewe hii ya wakara, wasukuma mikokoteni, anavaa shati la kutoboka mgongoni na tai! Ha ha ha ha ha, Murutungulu hoyee!!
 
Ukerewe gani!!? Unasemea Ukerewe hii ya wakara, wasukuma mikokoteni, anavaa shati la kutoboka mgongoni na tai! Ha ha ha ha ha, Murutungulu hoyee!!
Ukifika Nansio huwezi kujua Ukerewe.
Umefika kisiwa Gani ndani ya Ukerewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…