Ila Sasa naweza kukubaliana na wewe , ni kweli mengi uliyoonq ni sahihi.
Kwa sababu wewe umeongea zaidi upande wa starehe TU,maana hujaenda kupeleleza maisha ya watu.
Kama ungeenda kupeleleza nadhani ungekutqna na upande wa pili wa shilingi,ambao ni upande wa uhalifu.na uhalifu ni sehemu ya starehe kama umalaya,uvutaji bangi,ulevi kupindukia,biashara haramun.kna pia ushenzi kama ulanguzi,kidhulumiana,kuuana,kurohana,wizi,ubakaji,kukwepa Sheria n.k.
Ingawa haya yote yapo Kila sehemu.
Na ukerewe ni sehemu ya Tanzania,Wana mazuri mengi TU.
Na hata watu wanaposema serikali ni kama imejitenga na maeneo hayo haimaanishi kwamba hawawezekani Bali ni rushwa TU kwa watendaji ili kufanya mambo ya wafanyabiashara yaende bila mapingamizi.
Pia baadhi ya watendaji wana maslahi Yao huko.