ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
- Thread starter
- #101
Nilimwambia watu hapa wanasema naongopaKuna kisiwa kimoja nilifika huko kinaitwa IRUGWA kimepaka na kisiwa kingine kinaitwa LYEGOBA ukanda wa ukerewe na mara aise huko kuna guest kama za mjini ni balaa yan balaa. Kuna kiwanja kimoja wanakiita NYEGEZI aise starehe za huko sio mchezo...Kuna raha za ajabu ukienda huko unaweza tamani ubaki huko.
Siku nyingine fika Ghana na Siza