Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 1,535
- 5,332
Wewe jamaa ni mtundu sana walahKwa nini starehe isiwe hiyo hiyo samaki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe jamaa ni mtundu sana walahKwa nini starehe isiwe hiyo hiyo samaki?
Nafahamu Kuna zaidi ya visiwa 30 UK, ila umenipa challenge nifatilie undani wa taarifa yako hasa kuhusu hao wanaofariki kutupwa ndani ya Ziwa.Ukerewe ni kisiwa ila Kuna visiwa karibia 30 vipo ndani ya humo Ukerewe
Nadhani Gozba ndo hatari kuliko kwingine kote.Hapo Bezi cha mtoto ukifika Ghana, Siza au Gozba ndo utajua utamu wa kisiwa
Mkuu naomba unikonektie pdf ya roza mistikaHuwa natamani kufika Namagondo na sehemu zingine zilizorejelewa katika kazi nyingi za Euphrase Kezilahabi. Dhana ya uduara, ukatikati na ukitovu pamoja na maji zinabeba mhimili mkuu wa falsafa ya Kezilahabi kuhusu maisha; na zote zinatokana na mazingira ya kisiwani Ukerewe alikokulia.
Siku moja nitafanya utalii wa ndani huko!
View attachment 3270970
Mkuu ww ni mkerewe?Nafahamu Kuna zaidi ya visiwa 30 UK, ila umenipa challenge nifatilie undani wa taarifa yako hasa kuhusu hao wanaofariki kutupwa ndani ya Ziwa.
Ninavyofahamu, hakuna Nchi ina maeneo makubwa na mapori kama Tanzania
Ni ajabu kusikia watu wanakosa maeneo ya kuzika hadi watupwe ziwani.
Ninavyofahamu, baadhi ya miili iliyokuwa imeonekana ziwani miaka michache iliyopita, ilikuwa ni ya wale wavuvi waliokutwa wanavua kwenye eneo la hifadhi.
Ambapo taarifa fiche, zilibainisha kwamba walikuwa wameuwa na Mamlaka za Uhifadhi
Hiyo Sina Uhakika Mkuu, ila kwakuwa umeuliza swali, nitakuwa na majukumu ya kubeba Salio na kwenda kuonja hizo pisiAsante Kwa marekebisho.
Vipi mbususu nasikia bei Rahisi saana na zina quality kuliko hizi za tabata
Mimi ni Mtanzania Mkuu 🤗Mkuu ww ni mkerewe?
Hapana Mkuu 🤗Ww ni mkerewe?
Nakubaliana na wewe mia kwa mia.U
UKerewe ndio kisiwa hatari sana kuishi ktk visiwa vyote vya Tanzania na Afrika.
Ujambazi, mauwaji, ushirikina, Ujatiri dhidi ya binadamu.
Nakusihi tembelea Confession( Ushuhuda) kwenye Youtube Chanel ya Davista Mata uone kijana aitwaye WAMAYO akisimulia mikasà, misuko suko na harakati za Visiwa vyote vya Victoria.
Kiufupi Serikali imevitenga visiqa hivi hakuna Hyduma za ulinzi wala usalama
😂😂😂Hiyo Sina Uhakika Mkuu, ila kwakuwa umeuliza swali, nitakuwa na majukumu ya kubeba Salio na kwenda kuonja hizo pisi
Ukiona sijaja kuleta ushahidi hapa, basi ujue mdudu yule aliyetokea Uganda Mwaka 1989 atakuwa ameniua 😜
Gozba iko Muleba,kule wana Serikali yaoGoziba ni balaa mkuu niliwahi kufika huko mwaka fulani watu wanakula bata na wanapesa sio mchezo yani kule ni starehe tu.
Kuna kisiwa kingine kinaitwa gana/ghana wenyewe wanapaita mkoani aise starehe za huko sio mchezo watu kule wanapesa bhana.
Any reference? A link or a book?According to samaki experts not according to me.
Kupitia Confession ya Wamayo nilioma Ukerewe haina Tofauti na Somalia.Nakubaliana na wewe mia kwa mia.
Kuna stori iliandikwa kwa gazeti Fulani la liuchunguzi likkielezea jinsi serikali ilivyojitenga na visiwa hivyo.huko Kuna watu Wana serikali zao.umafia wote uko huko,umalaya,mauaji na kila aina ya uzandiki.
Inawezekana mwandishi huyu wa makala hii ya jf tunayoijadili Yuko sahihi lakini ninkaa vile hajaingia kwenye mofumo ya Kihalifu.
Kumbuka Kila penye Uhalifu Kuna starehe sana.
Ni sawa kabisa Mkuu na uko sahihi kabisaKupitia Confession ya Wamayo nilioma Ukerewe haina Tofauti na Somalia.
Na hivi sisi umri umeenda, hata kuchukua Zana na kuivaa hatuwezi bila usaidizi wa hao mabinti
Hehehe Mchaga ndio SI unit?Sehemu ambayo mchaga hajaisifia jua hakuna kitu.
Vijiji vya ukara....nakumbuka sijui Bwisa...Nansio
Kerege
Namagondo
Namasabo
Ngoma
Siza
Mriti
Mlezi
Bugondo
Soko Mjinga
Libya msitinu
Kakukuru
Ukara
Ila Sasa naweza kukubaliana na wewe , ni kweli mengi uliyoonq ni sahihi.Nilimwambia watu hapa wanasema naongopa
Siku nyingine fika Ghana na Siza