Starehe yako ni ipi?

Hi chit chat

Kila binadamu naamini kipo kitu anachoenjoy kufanya
Binafsi napenda sana sana sanaaaa mziki ....hiyo ndiyo starehe yangu kubwa na huwa naenjoy sanaa

Wewe je?
MWENZENU NAPENDA KUPENDWA
 
Napenda kufuatilia mambo yanavyokwenda duniani kupitia internet
 
Mimi napenda sana kula, chakula changu kikuu ni wali maharage, huwa sikinai hiki chakula.
 
napenda sana kuangalia movie za kikorea yaani huwa na furaha sana nikiangalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…