Starehe za Mlimani City na bei za ajabu ajabu

kwahiyo sisi ambao hatufanyi hizo kazi tukienda pale tunaonekana ni hao hao?
 
Waliniuzia wali samaki elfu 18 pale samaki samaki sitasahau
 
Umesahau bei ya mademu wanaojiuza hapo mkuu!
Kwanza huwa wanakodi magari na kujifanya ni yao ili ukiwaibukia wakuuzie mbunye kwa 500k!!
Afu mbunye yenyewe sasa!!!! Haina hata ladha basi tu imebebwa na mitako mikubwa.
Kuna sehemu moja nilikuwa, ni hadhi za juu. sasa demu moja akaja na mwenzake, moja akaenda kuliwa mwingine akabaki

Baadae akaniomba simu eti ampigie dereva tax. sikuwa na hiyana nikampa.
Kesho yake akanitumia msg nikamuuliza "we nani"? akatuma picha, nikamwambia mbona sikukumbuki akanikumbusha, nikamwambia sikumbuki kukupa namba yangu ya simu?

Basi baada ya maongezi akaniambia anatafuta wateja, nikamuuliza wateja wa nini, akasema K

Kufupisha stori nikamuuliza nikitaka huduma shilingi ngapi? akasema kuanzia dola 200.

Jibu nililompa yeye mwenyewe anajua 😂 😂
 
Mkuu ngoja nikuchane kuhusu pale mcity, wengi wanafanya vikao vya siri pale kama hujui hlo jinsi palivyokaa pili wengi wanapretend sana maisha pale kuna watu huwa wanaenda kuzurura tu mle kupiga selfie kushangaa nk. Na pia kuna wenye pesa zao wengi tu ambao utawakuta pale wakitanua pizza hut mle, kfc, samaki samaki nk. Mcity sio safe place kuna utapeli mwing sana mle ukiwa zobaa utapigwaa sanaa na huu utapel unafanywa sana na wanawake warembo becareful unavokuwa mle. Madem wa chuo wengi wanapenda kwenda pale hasa kunatua kujiuza nk ukitaka wanawake hawa na jins ya kuwatambua ntakuchana

Kuhusu piza hadi ya 15k unapata, pale kfc kuanzia buku6 unapata vichips afu nakupa trick kama unataka soda, maji nk nenda choppers au game pale unapata take away yako kwa 900 tu
 
Sehemu zingine vitu hua ghali ili kuepusha vurugu,sio kila mtu na wa aina yeyote ile awe na uwezo wakuenda sehemu ile,nadhani hata kodi ya pango wanayolipa wafanyabiashara ni kubwa pia,Mkuu tembelea sehemu ambazo unazimudu huku ukiendelea kutafuta.
Yeye anataka chakula kiuzwe buku jero..mbagala yote si itaamia pale??
 
Sehemu zingine vitu hua ghali ili kuepusha vurugu,sio kila mtu na wa aina yeyote ile awe na uwezo wakuenda sehemu ile,nadhani hata kodi ya pango wanayolipa wafanyabiashara ni kubwa pia,Mkuu tembelea sehemu ambazo unazimudu huku ukiendelea kutafuta.
bei ya pale inachangiwa na hadhi ya eneo ambayo inafanya kutembelewa na watu wenye hadhi ya juu wakiwemo raia wengi wa kigeni na wauza sura pia wapo wengi tu na wenye mfuko [emoji383] mizuri, pia kodi ya pango pale ni kubwa so ndio maana wafanyabiashara wanakomaa na bei ya juu ili kufidia
 
Bila picha itakuwa ni umbea
kinachonishangaza ni namna jinsi watu wanavyo vaa pande za pale huwanajiuliza kama wametokea home kama jinsi walivyo au wanabadilisha nguo wakifika pale.
 
Mkuu ebu nichane... Hao wa kujiuza nawatambuaje??
 
mie napaona kwa macho tuu hapo
Wewe kama mimi, nikipita hapo ujue nina sababu maalum inayo justify mimi kuwa hapo. Japo kwunywa juice ya 4000 uwezo upo.
 
Njoo kwa mpemba juisi 500.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…