Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Yaani Unapewa Na Popcorn Za ReserveNa makumbusho pia 1000 tena makumbusho wanakujazia nyingi mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani Unapewa Na Popcorn Za ReserveNa makumbusho pia 1000 tena makumbusho wanakujazia nyingi mzee
kwahiyo sisi ambao hatufanyi hizo kazi tukienda pale tunaonekana ni hao hao?Hicho ndiyo Kijiwe Kikubwa na Makao Makuu ya Kupumzika ( Kula Bata ) na Kupanga Mikakati zaidi kwa Wauza Dawa za Kulevya wengi nchini Tanzania , Matapeli wakubwa nchini na Mafisadi pamoja na Wala Rusha wakubwa pia. Kama ulikuwa hulijui hilo pole mno Mkuu na natumai kwamba kuanzia leo utakuwa umeshapata Jibu lako. Fanya Utafiti wako juu ya haya niliyokuambia na najua ipo Siku utakuja Kukubaliana nami hapa hapa.
Waliniuzia wali samaki elfu 18 pale samaki samaki sitasahauHivi wakuu nyie mnawezaje kumudu bei za pale kuanzia vyakula mpaka vinywaji?
Kuna siku nimeuziwa glass ya juice ya pineapple 5000, mpka nikajicheka, nikauliza popcorn za chumvi eti 4000..wale watu sidhani kama wapo serious..
Imefika muda nikienda yale maeneo nakuwa mziko kutumia visenti vyangu, hivi nyie mnaokula pizza, bugger na kulewa pale samaki samaki mnaweza vipi? Au mnajitoa akili tu?
Kuna sehemu moja nilikuwa, ni hadhi za juu. sasa demu moja akaja na mwenzake, moja akaenda kuliwa mwingine akabakiUmesahau bei ya mademu wanaojiuza hapo mkuu!
Kwanza huwa wanakodi magari na kujifanya ni yao ili ukiwaibukia wakuuzie mbunye kwa 500k!!
Afu mbunye yenyewe sasa!!!! Haina hata ladha basi tu imebebwa na mitako mikubwa.
sio mtoa mada wewe hapo gademittiMtoa mada eeh, boya kweli
Yeye anataka chakula kiuzwe buku jero..mbagala yote si itaamia pale??Sehemu zingine vitu hua ghali ili kuepusha vurugu,sio kila mtu na wa aina yeyote ile awe na uwezo wakuenda sehemu ile,nadhani hata kodi ya pango wanayolipa wafanyabiashara ni kubwa pia,Mkuu tembelea sehemu ambazo unazimudu huku ukiendelea kutafuta.
Nakumbuka ilikuwa ni sehemu ya mabishoo kwenda kuwinda vyupi, sijui hilo jambo linaendelea hadi leo.
bei ya pale inachangiwa na hadhi ya eneo ambayo inafanya kutembelewa na watu wenye hadhi ya juu wakiwemo raia wengi wa kigeni na wauza sura pia wapo wengi tu na wenye mfuko [emoji383] mizuri, pia kodi ya pango pale ni kubwa so ndio maana wafanyabiashara wanakomaa na bei ya juu ili kufidiaSehemu zingine vitu hua ghali ili kuepusha vurugu,sio kila mtu na wa aina yeyote ile awe na uwezo wakuenda sehemu ile,nadhani hata kodi ya pango wanayolipa wafanyabiashara ni kubwa pia,Mkuu tembelea sehemu ambazo unazimudu huku ukiendelea kutafuta.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣aaa wapi si kwa usawa huu, yani vimebaki vibao tu vya majina yao kama ukumbusho
kinachonishangaza ni namna jinsi watu wanavyo vaa pande za pale huwanajiuliza kama wametokea home kama jinsi walivyo au wanabadilisha nguo wakifika pale.
Mkuu ngoja nikuchane kuhusu pale mcity, wengi wanafanya vikao vya siri pale kama hujui hlo jinsi palivyokaa pili wengi wanapretend sana maisha pale kuna watu huwa wanaenda kuzurura tu mle kupiga selfie kushangaa nk. Na pia kuna wenye pesa zao wengi tu ambao utawakuta pale wakitanua pizza hut mle, kfc, samaki samaki nk. Mcity sio safe place kuna utapeli mwing sana mle ukiwa zobaa utapigwaa sanaa na huu utapel unafanywa sana na wanawake warembo becareful unavokuwa mle. Madem wa chuo wengi wanapenda kwenda pale hasa kunatua kujiuza nk ukitaka wanawake hawa na jins ya kuwatambua ntakuchana
Kuhusu piza hadi ya 15k unapata, pale kfc kuanzia buku6 unapata vichips afu nakupa trick kama unataka soda, maji nk nenda choppers au game pale unapata take away yako kwa 900 tu
Ndo tatizo LA huku MTU anakutuhumu maskin na hakujuiMkuu mimi sio maskini.. Inawezekana kipato nimekuzidi!
Kwenda sio tatizo, matumiziNmecheka[emoji23][emoji23][emoji23]
Mmenifanya nipamiss ngoja leo niende
Wewe kama mimi, nikipita hapo ujue nina sababu maalum inayo justify mimi kuwa hapo. Japo kwunywa juice ya 4000 uwezo upo.mie napaona kwa macho tuu hapo
Njoo kwa mpemba juisi 500.Hivi wakuu nyie mnawezaje kumudu bei za pale kuanzia vyakula mpaka vinywaji?
Kuna siku nimeuziwa glass ya juice ya pineapple 5000, mpka nikajicheka, nikauliza popcorn za chumvi eti 4000..wale watu sidhani kama wapo serious..
Imefika muda nikienda yale maeneo nakuwa mziko kutumia visenti vyangu, hivi nyie mnaokula pizza, bugger na kulewa pale samaki samaki mnaweza vipi? Au mnajitoa akili tu?m