Starehe za Mlimani City na bei za ajabu ajabu

Issue ukishalipa unaona kama wamekuibia[emoji3][emoji3]
Wewe kama mimi, nikipita hapo ujue nina sababu maalum inayo justify mimi kuwa hapo. Japo kwunywa juice ya 4000 uwezo upo.
 
Mkuu ebu nichane... Hao wa kujiuza nawatambuaje??

Nenda cinemax pale around mitaa ya pale kuna galz utakuta wana rob rob hawana campan ukimfuata wwngi atakwambia umlipie entrance mchek movie then utasepa nae hawa wengi ni wanachuo, samaki samaki hapa ni expensive bitches kama unapesa ya mawazo usijarib kabisaa na ni wakali balaa mitako ndo hyoo na kuna wwngine wanapenda kaa mwishon kabisa kordoni near na crdb bank au tpb bank siku za weeknd hz hasa night utakuta wamekaa au wamesimaa kwenye chuma flan wanakula selfie nk we mfate mchane una campan? Utaskia sina bhs ushapata. Mcity madem wanajiuza kwa akili so kma sinzaa[emoji23][emoji23]
 
Hapo nimekusoma mkuu [emoji3][emoji3]
 
nashauri maasikari waende kuwapiga picha hao wahaya.
 

Kwa kifupi Mlimani City pamejaa majambazi Dume na majambazi Jike hivyo ukiingia pale wewe unakuwa ktk hali ya "Owners risk"
 
Bei lazima ziwe juu mkuu kutokana na kodi ya pango kuwa kubwa hivyo hivyo
 
Ukisikia uza nyumba weka heshima baa basi ndo namna hiyo. Heshima ina njia zake
 
Issue ukishalipa unaona kama wamekuibia[emoji3][emoji3]
Kule ni kuibiana mzee mana wapo wengine mulemule bei zai zipo chini sema ndo kujua tu.
Binafsi huwa siendi kabisa labda niwe na kazi ya kufanya na nimeenda si zaidi ya mara tano na likija swala la gharama za chakula aloniita pale anahusika la sivyo nashinda na njaa.
 
Nilimbeba mbongo muv mmoja pale na tako lake lile sijui la mchina aiseeee Mana s kwa ulain ule [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
kama alivyosema mleta mada mmoja, ukiondoa watu wengi wanoenda kuzurula mle ndani, kufanya window shopping, na wachache kufanya manunuzi,mlimani city ni sehemu ya watu ambao mfukoni wapo vizuri na hawaogopi kula bata.

binafsi ndio sehemu yangu ninayoitumia kukutana na rafiki zangu siku za weekend.

jana tu jumamosi nilikuwa pale samaki samaki nikinywa local beer na washikaji.

hizi ni picha zangu za jana.
 
Ulimpa jibu gani
 
Elewa kitu kimoja tu pale ni sehem ya kutenganisha walio nazo a wasio nazo
 
Halafu hapo mlimani pakawaida sana..sijui u unique wa pale watu wanauona je
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…