Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

Dah kweli nime amini maisha Yana hitaji mengi.

[emoji117]Mwezi huu Umekuwa wa kiutofauti sana upande wangu, aisee niko bored kinyama.

Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series.

[emoji117]Sinywi pombe, sivuti bangi na hata sio mtu wa viwanja.

Naona vitu ni vile vile, nothing seems new to me.
[emoji117]Watu wa style kama yangu, huwa mnaishije[emoji855]
View attachment 2783816
Kila unapopata nafasi tembelea na mbuga mbalimbali za wanyama utakuja nishukuru.
 
My crush Nuzulati una ezaa fanya ka hii🤒🤗🤗😆
FB_IMG_16966256250245462.jpg
 
Back
Top Bottom