Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

Dah kweli nime amini maisha Yana hitaji mengi.

[emoji117]Mwezi huu Umekuwa wa kiutofauti sana upande wangu, aisee niko bored kinyama.

Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series.

[emoji117]Sinywi pombe, sivuti bangi na hata sio mtu wa viwanja.

Naona vitu ni vile vile, nothing seems new to me.
[emoji117]Watu wa style kama yangu, huwa mnaishije[emoji855]
View attachment 2783816

Same here
Sema mm kwny pombe sinywi ila hua na meditate na cannabis
Washkaji wakiwa outside Nshazoea kuambiwa antisocial/introvert 🥷[emoji2535]
 
ni uwakala🤣 wanasema freelancer ila ni uwakala
Walikua wengi..
Kuna mdau alisema twende na mabuti yenye sori ngumu ni kweli aiseeeeee pale unapewa kofia na tshirt... pia unapewa na location yako sasa wee assume unapelekwa kitunda kule ndani ndani.. mkuu acha tu.. nikasema bora niende kiwanda cha rasta nikasimame masaa 8 huko
 
dah kmmk ila maisha magumu aisee
 
Back
Top Bottom