Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

Walikua wengi..
Kuna mdau alisema twende na mabuti yenye sori ngumu ni kweli aiseeeeee pale unapewa kofia na tshirt... pia unapewa na location yako sasa wee assume unapelekwa kitunda kule ndani ndani.. mkuu acha tu.. nikasema bora niende kiwanda cha rasta nikasimame masaa 8 huko
Hapo ceo wa Voda ana kula shisha na kusema 👉🤣😂😂😂
them go feel it
Them go run it now
Them go hold it
Then go🤣😂😂
👉 mshamba_hachekwi
 
IAM watching expendable 4.
👉 Dream Queen, Mtu Chake, Mvaa Kobazi, Charles kilian, Franky Samuel, Introsagvert, adriz, Depal, Carleen, mshamba_hachekwi
FB_IMG_16977471757087650.jpg
 
Hapo ceo wa Voda ana kula shisha na kusema 👉🤣😂😂😂
them go feel it
Them go run it now
Them go hold it
Then go🤣😂😂
👉 mshamba_hachekwi
Intell unajua pale waliokua wanakubali ile ishu ni ambao hawajapata mdokezo..
Maana ule usaili unavofanyika kuna jamaa yupo humu humu akanipanga kuwa oyaa wee hapa sio poa kama vipi nenda viwandani hii show naijua
 
Back
Top Bottom