Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Kwanza SI bet, pili nyinyi msio wacheza game - mme pata kipi??π€Hiyo tabia ya kucheza game au kubet imefanya nikuonee huruma maana wewe na familia yako mtaishia kuwa mafukara.
Acha bangi π€£ππ, we SI uko morogoroπ€£πππ.habibiiiiiii wellcome to madagascar
π€£π€£Acha bangi π€£ππ, we SI uko morogoroπ€£πππ.
π Vipi Dem wako uli mpataππ€£
Dah πππ, sema huko Kuna michezo mingiππ€£π€£π€£π€£Huku hakuna raha kaka tunakatiwa umeme hadi kero tunabaki kupoteza muda beach
Acha nane mtu mwenyewe mzee huyo ajitambuiKwanza SI bet, pili nyinyi msio wacheza game - mme pata kipi??π€
Nina majukumu kiasi cha kwamba masaa 48 ya wkend hayanitoshiUna nicheka π€π€, Akati ni wale waleππ€£π€£
Hakuna kaka huku kuna dimbwi la ukahaba tuDah πππ, sema huko Kuna michezo mingiππ€£π€£
SisterNina majukumu kiasi cha kwamba masaa 48 ya wkend hayanitoshi
Kuoa bado Kaka, maybe nita fute mchumba 2030π€Fanya uoe upate cha kukushughulisha, jioni ikifika roho inauma hutaki usiku uingie.
Huyo ni Kaka ako, sio toto Kama monky de Luffy π€£πAbee totoo
Mambo yako?
Fresh uko okAbee totoo
Mambo yako?
Wabongo mna kazi sana.. so unahisi starehe ni kwenda lounge na club tu?Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series.
πSinywi pombe, sivuti bangi na hata sio mtu wa viwanja.
π€£Huyo ni Kaka ako, sio toto Kama monky de Luffy π€£π
ππππ yuko floor gani?Huyo ni Kaka ako, sio toto Kama monky de Luffy π€£π
KUla nakula madam, ila mock tails ndo nini ππ€£π€£Wabongo mna kazi sana.. so unahisi starehe ni kwenda lounge na club tu?
We huwezi enda hotel ukachill mgahawani ukala? Ukanywa mocktails? Ukarefresh?
Sister uko POA??Tunaishi hivyo hivyo kama wewe mkuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Google ππ spesheli kwa wasio tumia vileviKUla nakula madam, ila mock tails ndo nini ππ€£π€£