Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

Hayo ndo Maisha huwa naishi since nasoma primary Uganda

Kula vizuri Sana
Kuvaa vizuri Sana hapa Mimi nikivaa vizuri huwa sitoki Wala kwenda popote

Kusoma vitabu
Kukaa mtandaoni

Faida zake
Huwezi pata magonjwa ya ngono yoyote

Unasave pesa na bajeti.

Unapata Muda Mwingi wa ku-dig knowledge.

Job-home hii ndo naishi baada yakuwa Mtu mzima

Ili kuwa smater hustler unabidi Kuwa na commitment cleanest lifestyle ikiwemo ku-Abstain short term gratification like Alcohol, Sex , weed, Cigarettes,

..✌️
 
Umesoma shule na kupata elimu zaidi ya elimu ya madrasat?
 
Lazima ni kibonge
Una chkua sana sheria mkonon.. ndo tabia ya watu wa namna yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…