Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kwani huko kula, kucheza game na kuangalia serires, HIVYO VINA JIPYA?Dah kweli nime amini maisha Yana hitaji mengi.
👉Mwezi huu Umekuwa wa kiutofauti sana upande wangu, aisee niko bored kinyama.
Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series.
👉Sinywi pombe, sivuti bangi na hata sio mtu wa viwanja.
Naona vitu ni vile vile, nothing seems new to me.
👉Watu wa style kama yangu, huwa mnaishije🤒
View attachment 2783816