Starehe zote za hii dunia ni ubatili na hasara tu

Sugua kyuma mzee acha woga, sugua vyuma hivyo
 
Umenikumbusha jamaa mmoja yeye alikuwa anatembea na wanawake tofauti wa kila rika ila wake za watu ndo walikuwa wengi na alikuwa anahakikisha anapiga nao selfie.

Kwenye simu alikuwa na picha zaidi ya 200 na zote kapigia akiwa guest house tofauti.

Majuto aliyokuwa nayo ni mengi kuliko furaha. Naungana na wewe Mke mmoja anatosha sana.
 
Huo siyo uovu kwanini unihikumu? Mfalme Suleimani alikuwa na wake700 na vimada 300na Mungu alimpenda sana hadi akampa hekima atawale kwa haki. Wewe unanini cha kujutia?
 
Mweee....wee sema pombe sigara cocaine ndio ubatili. Huwezi fananisha ngono na starehe nyingine yoyote hapa duniani.
Hela tunatafuta ili tuweze kukojolea pazuri basi. Maana kama kula vyakula vipo bwelele
 
Duh!....
 
Mengineyo yote ni kweli tupu Ila hapo kwenye kutumia 28.3m jamaa watakuja kupopoa eti ni TATEPA (TANZANIA TEA PACKERS)

😊😊😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…