Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania wangapi wanaweza kununua router na dish kwa zaidi ya 2m?Sasa hapo inahusiana nini na Nape kuona mbali?
Wanapigwa hapo na Wazambia wenzwo siyo na Starlink...
Mnafanya hivyo ili baadae mje kutuuzia 1GB kwa 5,000?Starlink hata tz isingelita unafuh kwa mwananchi wa kawaida maana kama mtu anashindwa funga superkasi, ndipp ataweza starlink.
By the way hawawezi fungua ofisi hapa maana hata mapato ya tz pekee yatakuwa madogo
Acha uchawi.Acha kulialia hapa. Watanzania wangapi wanaweza kununua dish & router kwa 2m? Wangapi wanaweza lipia kifurushi kwa zaidi ya laki kwa mwezi? Starlink ni kwa ajili ya matajiri tu.
Hawawezi Kwasababu Hali zao za uchumi ni mbaya kwakuwa Wana serikali mbovu isiyoleta maisha boraAcha kulialia hapa. Watanzania wangapi wanaweza kununua dish & router kwa 2m? Wangapi wanaweza lipia kifurushi kwa zaidi ya laki kwa mwezi? Starlink ni kwa ajili ya matajiri tu.
Ndugu Charles Kilian kwa muda mrefu nimekua nikiamini wewe ni mtu mwenye akili timamu. Nini kimetokea hadi ukaandika hii comment yenye harufu ya pombe haramu ya gongo?Propaganda izo tu na mtoa mada inabidi upimwe akili weka watu wanao lalamika tuone hapa la sivyo wambie walio kutuma hawana akili hiyo huduma hadi hapa watu wanatumia vizuri tu hata mkikataza bado tunatumiaa vizuri tu tumetumia madish ya canal na bado tuna tumia starlink na hamna cha kutufanya nyie mapunguwani na machawa
Nape wanted a kick back that is all!! Jamaa zake Elon Mask wakamtolea nje basi!! Ndio maana hakuna movement juu ya suala hilo.We jamaa hujielewi, yaani baadhi ya masikini kusema kwamba gharama za kufungiwa dish ziko juu sababu ya umasikini wao ndiyo zitufanye na sisi tujute?😄😄😄😄
Hujielewi aisee
Nimelewa kaka hapa naenda kula ugali na kitimoto ni laleNdugu Charles Kilian kwa muda mrefu nimekua nikiamini wewe ni mtu mwenye akili timamu. Nini kimetokea hadi ukaandika hii comment yenye harufu ya pombe haramu ya gongo?
🤣Ndugu Charles Kilian kwa muda mrefu nimekua nikiamini wewe ni mtu mwenye akili timamu. Nini kimetokea hadi ukaandika hii comment yenye harufu ya pombe haramu ya gongo?
Ngoka kwanza sasa hapo unalaumu starlink au makanjanja wa Biashara ZambiaNadhani ni wakati sahihi kwa watanzania wote waliowahi kumlaumu Nape kuhusu kampuni ya Starlink kumuomba msamaha na kuungama makosa yao. Hawakufanya vyema. Pamoja na mapungufu yake ni kuwa Mheshimiwa Nape aliona mbali katika hili...
Wananchi wa Zambia au Lumumba?Nadhani ni wakati sahihi kwa watanzania wote waliowahi kumlaumu Nape kuhusu kampuni ya Starlink kumuomba msamaha na kuungama makosa yao...
Mkuu Mbna kenya sijasikia hayo malalamiko Na bei iko sawa yaani 2mil kwa 120Mbps unaona kubwaNadhani ni wakati sahihi kwa watanzania wote waliowahi kumlaumu Nape kuhusu kampuni ya Starlink kumuomba msamaha na kuungama makosa yao. Hawakufanya vyema. Pamoja na mapungufu yake ni kuwa Mheshimiwa Nape aliona mbali katika hili....
Mimi sio serikali lakini nmesema fact tu. Imagine vifaa dollar 500 hiyi ni kama milion 1.2, bado ulipe zaidi ya lak mbili kwa mwezi wakati superkasi ni cheap zaidi ya hiyo japo speed hazilingani na bado ni changamoto kwa watu kufunga.Mnafanya hivyo ili baadae mje kutuuzia 1GB kwa 5,000?
Kwani vifurushi vya sasa ni nafuu?
Ni watanzania wangapi wananunua hizo routers au hujui kuwa zaidi ya asilimia 80 ya watanzania wanatumia internet kupitia smartphonesWatanzania wangapi wanaweza kununua router na dish kwa zaidi ya 2m?
Hayo maneno yamefanya nikuone mpuuzi na usiyejua chochote kuhusu biashara. Wewe ni mwanasiasa mpumbavu unayeita nchi yako "kinchi kilichopo gizani".... USIRUDIE TENA KUTAMKA HAYO MANENO HARAMU.kinchi kilichopo gizani?
Wewe mbona huna akili kabisa? Unadhani internet ya Starlink utatumia bila installation kit? Dish & router ni lazima kuzinunua. Kwenye ukoo wenu mko wangapi mnaomudu milioni 2 kwa mara moja?Ni watanzania wangapi wananunua hizo routers au hujui kuwa zaidi ya asilimia 80 ya watanzania wanatumia internet kupitia smartphones
Halafu pia ni watanzania wangapi wananunua nguo woolworth au wanakula lunch serena..
Je, ni watanzania wangapi wanatumia ndege kufanya movements nchini??...
Kwa hiyo hizo huduma zote zifutwe kwa sababu wengi hawazitumii. Mbona hii ni mindset ya kijamaa sana
Hizo concerns ulizotoa sijaona ambayo inahalalisha maamuzi ya nchi yetu dhidi ya starlink. Kiufupi ni jukumu la elon tu kuangalia kama soko lipo au halipo na sio nyie kumuamulia