Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Hivi hii si inatumia sattelite? Inakuwaje tena iwe limited areas?
Satelite yeyote kwa kawaida inapobeam juu ya uso wa dunia huwa ina coverage area wanaita footprint, hivyo waliopo ndani ya footprint pekee ndio wenye kupata reception...
Kwa kuelewa zaidi ni kama chukulia mfano wa mwamvuli uwe ni kama satelite, ukiwa mmoja utakinga eneo dogo tu na ikiwa mingi kwa pamoja itakinga eneo kubwa zaidi na zaidi...
Starlink wao huwa wanarusha satelites nyingi nyingi kwenye anga la nchi fulani ili ziweze kucover eneo kubwa...kwamba kila sat inakuwa na footprint yake, hivyo zikiunganika basi zinacover enwo kubwa zaidi