Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nirudie.Hayo maneno yamefanya nikuone mpuuzi na usiyejua chochote kuhusu biashara. Wewe ni mwanasiasa mpumbavu unayeita nchi yako "kinchi kilichopo gizani".... USIRUDIE TENA KUTAMKA HAYO MANENO HARAMU.
Hayo maneno yamefanya nikuone mpuuzi na usiyejua chochote kuhusu biashara. Wewe ni mwanasiasa mpumbavu unayeita nchi yako "kinchi kilichopo gizani".... USIRUDIE TENA KUTAMKA HAYO MANENO HARAMU.
Wewe nu mwehu wahedNadhani ni wakati sahihi kwa watanzania wote waliowahi kumlaumu Nape kuhusu kampuni ya Starlink kumuomba msamaha na kuungama makosa yao. Hawakufanya vyema. Pamoja na mapungufu yake ni kuwa Mheshimiwa Nape aliona mbali katika hili.
Ndani ya muda mfupi sana wananchi wa Zambia wameshaanza kulalamika na kuitupia lawama kampuni ya Starlink kuhusu huduma zao za internet. Mheshimiwa Nape alivyosema Starlink wawe na ofisi ndani ya Tanzania alikuwa sahihi 100%. Leo hii wazambia wanalalamikia kupigwa na watu wa kati wanapotaka huduma ya internet za Starlink kutokana na wao kutokuwa na ofisi. Dish & Router ambazo ukiagiza ni $500 kuna wahuni wanauza $1000 huku kifurushi cha mwezi kikiwa $110.. ni maumivu makali. Pia wananchi wamelalamikia usumbufu wa kuagiza Starlink kit moja kwa moja kutoka USA ambapo huchukua hadi wiki 4 kuwafikia huku vikiwa bei ghali sana kuliko matarajio ya wengi.
Baadhi ya wananchi wameenda mbali kwa kudai Starlink sio ya mwananchi wa kawaida. Itawanufaisha wafanyabiashara tu. Kitu pekee ambacho kwa pamoja tunakubali ni kasi ya internet ya Starlink. Haina mpinzani. 120 Mbps ni kubwa sana. Nchi ya Rwanda inayosifika kwa kasi ya internet ina 50 Mbps tu. Kimsingi biashara na beberu haimjali mwananchi wa kipato cha chini. Kuna mwananchi mmoja kauziwa Stalink Kit kwa kwacha 21500.
USHAURI KWA NAPE; Ninamsihi akae chini na timu yake na kushusha bei za vifurushi. Sioni sababu yoyote kwa nchi yetu yenye watumiaji wengi wa internet kuuza vifurushi kwa bei ya kupaa. Hadi leo hii hakuna utetezi wowote wenye maana uliowahi kutolewa na Nape zaidi ya kusema internet kwa Tanzania ni bei rahisi kulinganisha na nchi zingine. Ni UTETEZI WA KITOTO SANA. Kuhusu ni kuwa Starlink hawana namna ya kuikwepa Tanzania. Hii nchi ina biashara kubwa ya internet kuliko majirani zetu. Starlink lazima atarudi tena au kimyakimya anaendelea na mazungumzo ili afanye biashara hapa.
Hizo huduma siyo kwa ajili ya watu wanaofuatili Simba, yanga,mange app,ni kwa ajili ya kampuniPropaganda as usual
CCM wamelaaniwa, kila kitu ni propaganda za hovyo.Propaganda as usual
Hao vifaa wananunua kwa vishoka. Mbona Kenya hawalalamiki?Mimi sio serikali lakini nmesema fact tu. Imagine vifaa dollar 500 hiyi ni kama milion 1.2, bado ulipe zaidi ya lak mbili kwa mwezi wakati superkasi ni cheap zaidi ya hiyo japo speed hazilingani na bado ni changamoto kwa watu kufunga.
Mimi sisemei nape kuikataa nasemea kuwa hata ingekuja ambao wamgeafford ni makampuni na wenye vipato.
Ila ingeruhusiwa tu sisi tuna vikwazo vingi nchi hii maskini inataka sheria kama za EU
Kama hajaelewa hapa, basi akae tu na ujinga wake kichwaniSasa hapo inahusiana nini na Nape kuona mbali?
Wanapigwa hapo na Wazambia wenzwo siyo na Starlink.
Kenya mbona hayajatokea matatizo hayo?
Ni Wazambia wenyewe tu hovyo.
In shaa Allah kama nipo hai na Tanzania itakuwa haijafika mpaka Jamuary, naagiza Nairobi.
Yaani dish 📡 ni 1300000TZS na malipo Kwa mwezi ni 100000TZS, Mbona wasakatonge hatuwezi.Utaratibu rasmi wa kupata installation kit ya Starlink unajulika, bei za vifurushi kwa mwezi zipo wazi na ETA inajulikana...
Watu kupigwa bei ambayo sio elekezi ni kiherehere chao wenyewe kutaka kununua kit toka 3rd party suppliers...
Zambia becomes sixth African country to get SpaceX's Starlink satellite internet service
"Starlink is available in Zambia in limited areas, but the company plans to expand its coverage over the coming months. The service is priced at ZMW771 ($37) per month, with a one-time hardware cost of ZMW10,744 ($505)."
Unajua kuna baadhi ya watu mngeweza kuwa wapishi wazuri au plumbers wa viwango vya kimataifa ila mnalazimisha fani ambazo sio zenu. Ulichoandika ni utumbo mtupu hata Elon Musk atakukataa. Siku nyingine kabla huja-comment uliza kwanza watu wanaofanya biashara ndo uje u-paste hapa walichosema. Kwa akili zako unajiaibisha.Ngoja nirudie.
Nani anaweza kutishwa na kinchi ambacho kinaweza kuwaweka giza wananchi wake hata siku nzima mfululizo bila taarifa na wala bila utatuzi yakinifu.
Nani atakua mjinga endapo unamfungia vioo abaki kukubembeleza wakati ana annual revenue ya $1.4 B na anaoperate kwenye nchi zinazoeleweka
Ngoja nikuwekee hapa taarifa waliyotoa niko hapa kufanya deconstruction kwa wapambe kama nyie wa waziri aliyejibebea vibendera 7 kidato cha nne na kama huelewi lugha hapo sema nikupe tafsiri .View attachment 2780205
Hapo juu ni coverage ya Starlink sijui hata kama geography iko vizuri kichwani mwako kuelewa nchi zilizokuwa marked na zinapata full operation ya Starlink.View attachment 2780203
Hiyo dola 505 ni ukiagiza. Ukija kuongeza gharama za usafiri na kodi inaenda zaidi ya hapo ndo maana watu wa kati wanauza hado dola 1000.Yaani dish 📡 ni 1300000TZS na alipo Kwa wezi ni 100000TZS, Mbona wasakatonge hatuwezi.
Wewe mbona huna akili kabisa? Unadhani internet ya Starlink utatumia bila installation kit? Dish & router ni lazima kuzinunua. Kwenye ukoo wenu mko wangapi mnaomudu milioni 2 kwa mara moja?
Mmeanza kubadili kauli sio? Watu wangapi waliokuwa wakidhani Starlink itakuja kutatua tatizo la internet kwa wengi? Kiufupi ni kuwa Starlink haina urafiki na maskini wala mtu yeyote wa kipato cha chini.Kama kuwa na akili ni kuwa closed-minded na kutumia emotional reactions badala ya logical ones kama wewe bhasi ni kheri niendelee kuwa mpumbavu.
Ulichoshindwa kung'amua hapo ni concept ndogo sana ya masoko "targetting"
Kwa hiyo hata kama ukoo mzima tungekuwa hatuna uwezo wa kupata laki haimaanishi wanaopata bilioni wasipate huduma inayoendana na thamani ya fedha zao.
Kwanza Tanzania hii unajua kuna midlle income earners wangapi na hata ukuaji wa million dollar individuals kwa mwaka upoje
Haya wewe mwenye akili kuliko space x walioamua kuwekeza Tanzania, kuna topics nyingi tulifanya discussion decently hadi nikadhani upo tofauti mkuu. Ila yote kheri, your life, your choice. Who am i
Yaani dish 📡 ni 1300000TZS na malipo Kwa mwezi ni 100000TZS, Mbona wasakatonge hatuwezi.
Tumeanza mimi na nani ??....Mmeanza kubadili kauli sio? Watu wangapi waliokuwa wakidhani Starlink itakuja kutatua tatizo la internet kwa wengi? Kiufupi ni kuwa Starlink haina urafiki na maskini wala mtu yeyote wa kipato cha chini.
Hivi hii si inatumia sattelite? Inakuwaje tena iwe limited areas?Utaratibu rasmi wa kupata installation kit ya Starlink unajulika, bei za vifurushi kwa mwezi zipo wazi na ETA inajulikana...
Watu kupigwa bei ambayo sio elekezi ni kiherehere chao wenyewe kutaka kununua kit toka 3rd party suppliers...
Zambia becomes sixth African country to get SpaceX's Starlink satellite internet service
"Starlink is available in Zambia in limited areas, but the company plans to expand its coverage over the coming months. The service is priced at ZMW771 ($37) per month, with a one-time hardware cost of ZMW10,744 ($505)."
Chawa wa Samia hamna tofauti na uwezo mdogo wa boss wenu.Unajua kuna baadhi ya watu mngeweza kuwa wapishi wazuri au plumbers wa viwango vya kimataifa ila mnalazimisha fani ambazo sio zenu. Ulichoandika ni utumbo mtupu hata Elon Musk atakukataa. Siku nyingine kabla huja-comment uliza kwanza watu wanaofanya biashara ndo uje u-paste hapa walichosema. Kwa akili zako unajiaibisha.