Starlink yatupiwa lawama Zambia. Nape aliona mbali

Hayo maneno yamefanya nikuone mpuuzi na usiyejua chochote kuhusu biashara. Wewe ni mwanasiasa mpumbavu unayeita nchi yako "kinchi kilichopo gizani".... USIRUDIE TENA KUTAMKA HAYO MANENO HARAMU.
Ngoja nirudie.

Nani anaweza kutishwa na kinchi ambacho kinaweza kuwaweka giza wananchi wake hata siku nzima mfululizo bila taarifa na wala bila utatuzi yakinifu.

Nani atakua mjinga endapo unamfungia vioo abaki kukubembeleza wakati ana annual revenue ya $1.4 B na anaoperate kwenye nchi zinazoeleweka

Ngoja nikuwekee hapa taarifa waliyotoa niko hapa kufanya deconstruction kwa wapambe kama nyie wa waziri aliyejibebea vibendera 7 kidato cha nne na kama huelewi lugha hapo sema nikupe tafsiri .
Hapo juu ni coverage ya Starlink sijui hata kama geography iko vizuri kichwani mwako kuelewa nchi zilizokuwa marked na zinapata full operation ya Starlink.
Hayo maneno yamefanya nikuone mpuuzi na usiyejua chochote kuhusu biashara. Wewe ni mwanasiasa mpumbavu unayeita nchi yako "kinchi kilichopo gizani".... USIRUDIE TENA KUTAMKA HAYO MANENO HARAMU.
 
Wewe nu mwehu wahed
 
Hao vifaa wananunua kwa vishoka. Mbona Kenya hawalalamiki?
  • Kununua vifaa bei ghari siyo sababu ya starlink kuja Tanzania
  • Mbona kila siku mnapandisha bei ya vifurushi hasa data na bado hamsemi au kwa kuwa mna hisa Vodacom, Airtel, Tigo, na Zantel?
  • Leo kuna simu za mkopo za kunyonya damu, simu yenye thamani ya 150,000 kwa mkopo ni shiling laki 6 na hamuongei. Kwanini? Wanauza dlight, vodacom, tigo na wengine.
Mnajifanya mnatuhurumia sana lkn kila siku vifurushi mnapandisha halafu kwenye starlink mnajifanya mnatupenda sana?
Viongozi wa Tanzania wanakula miamala ili starlink isije Tanzania na kibaya zaidi wanapandisha vifurushi vya data kimaksudi ili wapate hela.
1Gb ilikuwa 1,000 leo ni 2100 tena ikiwa bando pekee. Ukijiunga Halotel chap tu wameshachukua bando lao. 1Gb wanakupa 500mb.
 
Kama hajaelewa hapa, basi akae tu na ujinga wake kichwani
 
Yaani dish 📡 ni 1300000TZS na malipo Kwa mwezi ni 100000TZS, Mbona wasakatonge hatuwezi.
 
Unajua kuna baadhi ya watu mngeweza kuwa wapishi wazuri au plumbers wa viwango vya kimataifa ila mnalazimisha fani ambazo sio zenu. Ulichoandika ni utumbo mtupu hata Elon Musk atakukataa. Siku nyingine kabla huja-comment uliza kwanza watu wanaofanya biashara ndo uje u-paste hapa walichosema. Kwa akili zako unajiaibisha.
 
Yaani dish 📡 ni 1300000TZS na alipo Kwa wezi ni 100000TZS, Mbona wasakatonge hatuwezi.
Hiyo dola 505 ni ukiagiza. Ukija kuongeza gharama za usafiri na kodi inaenda zaidi ya hapo ndo maana watu wa kati wanauza hado dola 1000.
 
Wewe mbona huna akili kabisa? Unadhani internet ya Starlink utatumia bila installation kit? Dish & router ni lazima kuzinunua. Kwenye ukoo wenu mko wangapi mnaomudu milioni 2 kwa mara moja?

Kama kuwa na akili ni kuwa closed-minded na kutumia emotional reactions badala ya logical ones kama wewe bhasi ni kheri niendelee kuwa mpumbavu.

Ulichoshindwa kung'amua hapo ni concept ndogo sana ya masoko "targetting"

Kwa hiyo hata kama ukoo mzima tungekuwa hatuna uwezo wa kupata laki haimaanishi wanaopata bilioni wasipate huduma inayoendana na thamani ya fedha zao.

Kwanza Tanzania hii unajua kuna midlle income earners wangapi na hata ukuaji wa million dollar individuals kwa mwaka upoje

Haya wewe mwenye akili kuliko space x walioamua kuwekeza Tanzania, kuna topics nyingi tulifanya discussion decently hadi nikadhani upo tofauti mkuu. Ila yote kheri, your life, your choice. Who am i
 
Mleta maada ni aina ya watu kama hawa waliojilaza chini🐒

 
Mmeanza kubadili kauli sio? Watu wangapi waliokuwa wakidhani Starlink itakuja kutatua tatizo la internet kwa wengi? Kiufupi ni kuwa Starlink haina urafiki na maskini wala mtu yeyote wa kipato cha chini.
 
Yaani dish 📡 ni 1300000TZS na malipo Kwa mwezi ni 100000TZS, Mbona wasakatonge hatuwezi.

Kwenye malipo ya mwezi mnaweza kushare kwa sababu inakubali multiple users na multiple devices...
 
Kweli nape alikua sahii,hata hizi gari range rover na JEEP i gharama sana kununua,kulitunza,fuel consuption,. masikini hatuziwezi serikali ifanye namna zisiingie bongo,na iPhone pia,.
 
Mmeanza kubadili kauli sio? Watu wangapi waliokuwa wakidhani Starlink itakuja kutatua tatizo la internet kwa wengi? Kiufupi ni kuwa Starlink haina urafiki na maskini wala mtu yeyote wa kipato cha chini.
Tumeanza mimi na nani ??....

Ushawahi interact na hii account kwenye hizo league zenu

Ngoja niwaache wafu mzikane
 
Yaani 2023 unaona Satellite ina tatizo tuna Taifa lenye watu vilaza sana aisee...sijui nani aliwaroga na kudumaza Bongo zenu...
 
Wewe mwanamke umezoea kupewa bure utayajulia wapi maumivu ambayo wanaume wa Tanzania wanayapitia?

Hivi sasa umeungana na Shoga yako Lucas mwashambwa kuwatetea watawala ambao wameendelea kuwafanya Watanzania kuwa na maisha magumu mnooo!.


Nyie Mabwana zenu kila kitu wanawapa bure unadhani maumivu ya wengine mtayahisi vp?

Hebu oneni hata aibu basi nyie wanawake mbona ni watu wazima!
 
Hivi hii si inatumia sattelite? Inakuwaje tena iwe limited areas?
 
Chawa wa Samia hamna tofauti na uwezo mdogo wa boss wenu.

Nimekuuliza hapa katika uzi ule wa vifurushi mbalimbali vya internet unaona kabisa TTCL na makampuni mengine yalivyofeli kutoa huduma ya internet huku mdau mmoja akionyesha mpaka ushahidi wa emails alizowatumia HQ kwa surveyors kushindwa kufika eneo alilopo sasa kwa shirika bovu kama hilo na unasema waziri na watendaji wake wanatekeleza majukumu yao?

Anapotokea mwekezaji anafanyiwa mizengwe hatimaye anaondoka zake, mtanzania kama Benjamin Fernades hujiulizi kwanini hajaweka HQ za NALA Tanzania?

Majuzi tu bwanamdogo mmoja ninefuatilia kawekewa mizengwe kwenye utoaji wa scholarship nafuu ili kampuni ya Global link yenye mkono wa mwanaccm iendelee kupeta bila ushindani.

Kwahiyo kwenye hili aliyefeli ni Nape na boss wenu Samia sio Starlink.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…