Starlink yawasilisha maombi ya leseni kwa TCRA. Je, safari hii watatoboa? Ushindani wa gharama na ubora wa internet utakuwaje?

Vigumu Sana Kumdukua Elon musk
 
Sasa Hivi bila Kupata baraka za Elon huongei na Trump, mama Samia kaona asiponzwe kuja kukosa misaada kisa kumkazia Elon...Elon is unstoppable force kwa sasa 🀫
 
Woyowoyowoyawoyo!
 
Mwanzo kipindi starlink inaingia kenya mapokeo yalikua makubwa kwa vile price ya vifurushi ilikua cheap ukilinganisha na internet service provider wengine


Competition ikawa kubwa baina ya starlink na safaricom ( router) . Hali iliofanya wateja kuihama safrcom. Ndipo safaricom ikaingia ubia na starlink sahvi ndo distributor wakubwa wa hizo device kupitia mawakala wao
 
Watatoboa kwa sababu musk kwa sasa ni sehemu ya serikali huko Amerika,
Nani mwenye mbavu za kumpa vikwazo kwenye biashara yake na akiangalia mnawategemea kwa mambo kibao
Nadhani ameomba tena kwa mara nyingine makusudi tu ili aone huwenda kuna dharau zilionyeshwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…