DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Duh Huu Nimtandao gani 😅😅😅🤣🤣🤣Waje tu maan kit Yao ni laki 3 ya TZ tutatumia pesa ndogo sana hiii tumechoka na isp za wabongo View attachment 3152675
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh Huu Nimtandao gani 😅😅😅🤣🤣🤣Waje tu maan kit Yao ni laki 3 ya TZ tutatumia pesa ndogo sana hiii tumechoka na isp za wabongo View attachment 3152675
Ila Ukiona Bei kubwa Unaweza Kuchukua Hata Vifurushi kutoka kenya au Nchi nyingine yenye unafuuSwali muhimu mno ila nafikir hadi akiingia uwanjani ndio tutaona offer zake
Starlink ni speed ya 5G, ni zaidi ya 100Mbps..Kitaalam kasi ya juu itasoma kiasi gani kutoka kwenye hiyo 1.7M/s inayosomeka hapo kwenye kifaa chako?
Vigumu Sana Kumdukua Elon muskLazima watapelekwa kwenye rates zetu. Kuna taasisi moja iliundwa kwa ushirika na nchi za Ulaya, walikuwa na mpango wa kulipa mishahara minono kama ya Ulaya. Wizara ya fedha ikakataa, ikataka walipwe kwa ngazi za Tanzania. The same happened kwa TBL wakati inabinafsishwa kwa ubia.
Last time walipewa sharti wawe na ofisi Tanzania, may be mambo ya kodi, na kufanikisha udukuzi
Sasa Hivi bila Kupata baraka za Elon huongei na Trump, mama Samia kaona asiponzwe kuja kukosa misaada kisa kumkazia Elon...Elon is unstoppable force kwa sasa 🤫Bei zitapungua? Au wataambiwa waendane na bei za washindani zilizopo?
Najua kwenye ubora jamaa atawapiga chenga,
View attachment 3152628
Meanwhile hivi ndivyo voda na wenzake walivyo sasa hivi
=====
Baada ya muda mrefu wa Watanzania kuhoji kwanini Tanzania hatujaruhusu uwepo wa Internet ya Starlink kutoka kwa tajiri Elon Musk, hatimaye leo Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa tangazo kuonesha Kampuni hiyo imeomba kupatiwa leseni ya Kitaifa ya Miundombinu na Leseni ya Kitaifa ya Huduma ya Mifumo Tumizi.
Kwa muda mrefu Wananchi wamekuwa wakihoji kwanini Tanzania hatuna huduma hii na hasa ukizingatia kwa wenzetu majirani wanayo; Je, kwanini Tanzania hatupati huduma ya starlink nini shida?
Wakati hapa kwetu kumekuwa na kususua kupokea huduma hii wananchi wakihoji kwanini: Waziri Nape kwanini husemi ni vigezo gani ambavyo Starlink hawajatimiza? Au wamegoma sharti la kuzima mtandao muda wowote mkiamua?
Katika moja ya fafanuzi zake, aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye alisema kuwa Elon Musk hakuwa na mpango wa kuweka ofisi ya Starlink nchini katika hatua yake ya kuwekeza katika utoaji wa huduma ya intaneti, hivyo ingeweza kuleta usumbufu pale ambapo wateja wangehitaji msaada zaidi.
Na haya yalikuwa majibu ya Nape, kuwa serikali haikuwa imeweka vikwazo vyovyote ila bwana Elon hakuwa na mpango wa kuanzicha huduma hiyo nchini: Waziri Nape: Elon Musk hakuwa na mpango wa kuweka ofisi Tanzania
Hata hivyo, Februari mwaka huu, akiwa bado Waziri, Nape Nnauye alisema Kampuni hiyo inakamilisha hatua za mwisho ili kupata vibali vya kutoa huduma nchini. Aliongeza kuwa ikishatimiza taratibu zote itaanza kutoa huduma na kwamba Serikali inasubiri wakamilishe tu taratibu hizo.
Sasa hivi Kampuni hiyo imeomba leseni tena na TCRA kwa sasa imeweka wazi kabisa uombaji huo tofauti na awali ambapo haikuwa wazi. Sasa maswali ya kujiuliza ni
- Bei zitapungua? Au wataambiwa waendane na bei za washindani zilizopo? Najua kwenye ubora jamaa atawapiga chenga
- Je, sasa hivi amekubali kujenga ofisi au ile ilikuwa janja janja ya kipindi kile?
Ambayo hiyo Mbs ni sawa na zile zinazo andikwa kwenye simu kama hiyo M/s? Nikimaanisha 100Mbps itasomeka gapo kwenye mshale?Starlink ni speed ya 5G, ni zaidi ya 100Mbps..
Ndio hapo kwenye simu yako itakuwa inasoma 100Mbps.. hadi 220 Mbps..Ambayo hiyo Mbs ni sawa na zile zinazo andikwa kwenye simu kama hiyo M/s? Nikimaanisha 100Mbps itasomeka gapo kwenye mshale?View attachment 3152728
Woyowoyowoyawoyo!Bei zitapungua? Au wataambiwa waendane na bei za washindani zilizopo?
Najua kwenye ubora jamaa atawapiga chenga,
View attachment 3152628
Meanwhile hivi ndivyo voda na wenzake walivyo sasa hivi
=====
Baada ya muda mrefu wa Watanzania kuhoji kwanini Tanzania hatujaruhusu uwepo wa Internet ya Starlink kutoka kwa tajiri Elon Musk, hatimaye leo Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa tangazo kuonesha Kampuni hiyo imeomba kupatiwa leseni ya Kitaifa ya Miundombinu na Leseni ya Kitaifa ya Huduma ya Mifumo Tumizi.
Kwa muda mrefu Wananchi wamekuwa wakihoji kwanini Tanzania hatuna huduma hii na hasa ukizingatia kwa wenzetu majirani wanayo; Je, kwanini Tanzania hatupati huduma ya starlink nini shida?
Wakati hapa kwetu kumekuwa na kususua kupokea huduma hii wananchi wakihoji kwanini: Waziri Nape kwanini husemi ni vigezo gani ambavyo Starlink hawajatimiza? Au wamegoma sharti la kuzima mtandao muda wowote mkiamua?
Katika moja ya fafanuzi zake, aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye alisema kuwa Elon Musk hakuwa na mpango wa kuweka ofisi ya Starlink nchini katika hatua yake ya kuwekeza katika utoaji wa huduma ya intaneti, hivyo ingeweza kuleta usumbufu pale ambapo wateja wangehitaji msaada zaidi.
Na haya yalikuwa majibu ya Nape, kuwa serikali haikuwa imeweka vikwazo vyovyote ila bwana Elon hakuwa na mpango wa kuanzicha huduma hiyo nchini: Waziri Nape: Elon Musk hakuwa na mpango wa kuweka ofisi Tanzania
Hata hivyo, Februari mwaka huu, akiwa bado Waziri, Nape Nnauye alisema Kampuni hiyo inakamilisha hatua za mwisho ili kupata vibali vya kutoa huduma nchini. Aliongeza kuwa ikishatimiza taratibu zote itaanza kutoa huduma na kwamba Serikali inasubiri wakamilishe tu taratibu hizo.
Sasa hivi Kampuni hiyo imeomba leseni tena na TCRA kwa sasa imeweka wazi kabisa uombaji huo tofauti na awali ambapo haikuwa wazi. Sasa maswali ya kujiuliza ni
- Bei zitapungua? Au wataambiwa waendane na bei za washindani zilizopo? Najua kwenye ubora jamaa atawapiga chenga
- Je, sasa hivi amekubali kujenga ofisi au ile ilikuwa janja janja ya kipindi kile?
Haitakataliwa milele. Muda wakati mwibgine huamua kipi kikae juu ya kingineMniamini lazima atakataliwa
Hizi kampuni za mawasiliano humo kuna hawa hawa viongozi ndani yake nao unakuta wana hisa
Airtel HawaDuh Huu Nimtandao gani 😅😅😅🤣🤣🤣
Tutanunua kenya 🤣🤣 au RwandaMadelu ataweka kodi na ushuru mkubwa kwa hivyo vifaa vya starlink
Yeah...Ambayo hiyo Mbs ni sawa na zile zinazo andikwa kwenye simu kama hiyo M/s? Nikimaanisha 100Mbps itasomeka gapo kwenye mshale?View attachment 3152728