Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Hapo kwenye punguzo nimesikia sie wabongo tunaweza kuuziwa normal kit laki 8 na min kit laki 3 maana vifaa naskia vipo vya kutoshahapo itafaa
niliona May wanasema 88k itakua wamepunguza
na hua wana toa punguzo la 55% mara nyingine, mseleleko upo
Nitakuwa natumia laini ya haloteli ya data tupu 10k napata gb 10 zinatosha kufanya fujo mtandaoniVp mwamba ukiwa una safiri utakuwa unatumia vifurushi vya hawa wanyonya damu ??π€£
Jamaa now yupo serikalini kule marekani wakimnyima Dili nae serikali yake haitoleta misaada TZ maana Dili ni Dili haiwezekani burundi wapate starlink afu sie tusipateMakampuni yatawahonga mawaziri ili wasipewe kibali.
Mie nilinunua elfu 5 haloshop pale tegetaYap, hivi huwa zinauzwa bei gani mkuu hizi line
Kigamboni Ni sehemu Pekee (Nje ya Mji) ambako.hata TTCL wanakuzungusha Kukuwekea Fibres π€£π€£π€£π€£Bei rafiki sana hii mda si mrefu naivuta kwenye la casa yangu hapa kigamboni
Na wasiwasi sana na rosttamu mmiliki wa tigo na zantel.. nguvu yake ya kiuchumi, mccm...Watahakikisha wanamwaga pesa hawa
Sasa si Bora Nikanunue Kenya Nije Nifunge π€£π€£π€£ kwakuwa imeruhusiwa Nitakuwa Niko HuruHapo kwenye punguzo nimesikia sie wabongo tunaweza kuuziwa normal kit laki 8 na min kit laki 3 maana vifaa naskia vipo vya kutosha
Ni miyeyusho sana hao afu nashangaa sana mtandao wa serikali afu network Yao mbovu sanaKigamboni Ni sehemu Pekee (Nje ya Mji) ambako.hata TTCL wanakuzungusha Kukuwekea Fibres π€£π€£π€£π€£
Hii itakuwa ni threat kwa makampuni ya simu hapa nchiniGb moja nasikia ni 300 kwa hiyo ukiwa na buku unapata Gb 3 kiroho safi halafu kiboss yaan mzingo unatembea sio poa !!!
Niliona crdb pale kigamboni wameweka hii sema walikuwa wanatumia kwa Siri sanaπππππSasa si Bora Nikanunue Kenya Nije Nifunge π€£π€£π€£ kwakuwa imeruhusiwa Nitakuwa Niko Huru
Naunga mkono hoja maana walizoea kumuibia sana mbongo wanasema wanampa gb 1 kumbe anauziwa mb 499Ndio wakome sasa
Hivi kikwazo kwa lugha nyingine ni Clogg au Impediment !!??
Yaah now wamekaliwa kooni... sie tunaombea ili wapunguze nyodoJamaa now yupo serikalini kule marekani wakimnyima Dili nae serikali yake haitoleta misaada TZ maana Dili ni Dili haiwezekani burundi wapate starlink afu sie tusipate
Naunga mkono hoja mkuu π πPia mama wa nyumbani wapenda tik tok itamudu angalau maana walikuwa wanakula bando kama mchwa