DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
We Umewachoma Wazi π€£π€£Niliona crdb pale kigamboni wameweka hii sema walikuwa wanatumia kwa Siri sanaπππππ
Naunga mkono hoja wametutesa sana HawaYaah now wamekaliwa kooni... sie tunaombea ili wapunguze nyodo
Haina shida leseni washapewa kaka ππππππWe Umewachoma Wazi π€£π€£
Huoni kama Utawafanya Washitakiwe kwa Matumizi ya Bidhaa zilizokatazwa π€£π€£π€£
Maana Mpaka Sasa Bado haziruhusiwa Kuna Wale watu walikula Mvua na Wazungu wao kwa matunzi ya Hizo starlink...
Utawacosts π€£π€£π€£
Na ndugu zao Airtel ni balaa sana router zao zenyewe ni miyeyushoView attachment 3152791
Hawa wajinga wametutesa sanaaa
ππππNilipiga simu huduma kwa wateja wakawa wananiambia niiweke juu ya dirishaRouter ziko slow kama kono kono π€£
Fulltime kazi yangu nipo online kuna wakati hizi network zetu ni chenga sana, bora ije hiyo hata kama nitalipa zaidi kununua vifaa ila ninakuwa na uhakika wa internet muda wote.Duh iyo Hela ungekuwa halotel ungefaidi sana
Serikali ya CCM wanapenda kuona watanzania wakiteseka ndio maana hawataki kumuachia Musk aje kushusha gharama za internet na kuboresha huduma. Watawala wa nchi wana mambo ya kiquma sanaBei zitapungua? Au wataambiwa waendane na bei za washindani zilizopo?
Najua kwenye ubora jamaa atawapiga chenga,
View attachment 3152628
Meanwhile hivi ndivyo voda na wenzake walivyo sasa hivi
=====
Baada ya muda mrefu wa Watanzania kuhoji kwanini Tanzania hatujaruhusu uwepo wa Internet ya Starlink kutoka kwa tajiri Elon Musk, hatimaye leo Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa tangazo kuonesha Kampuni hiyo imeomba kupatiwa leseni ya Kitaifa ya Miundombinu na Leseni ya Kitaifa ya Huduma ya Mifumo Tumizi.
Kwa muda mrefu Wananchi wamekuwa wakihoji kwanini Tanzania hatuna huduma hii na hasa ukizingatia kwa wenzetu majirani wanayo; Je, kwanini Tanzania hatupati huduma ya starlink nini shida?
Wakati hapa kwetu kumekuwa na kususua kupokea huduma hii wananchi wakihoji kwanini: Waziri Nape kwanini husemi ni vigezo gani ambavyo Starlink hawajatimiza? Au wamegoma sharti la kuzima mtandao muda wowote mkiamua?
Katika moja ya fafanuzi zake, aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye alisema kuwa Elon Musk hakuwa na mpango wa kuweka ofisi ya Starlink nchini katika hatua yake ya kuwekeza katika utoaji wa huduma ya intaneti, hivyo ingeweza kuleta usumbufu pale ambapo wateja wangehitaji msaada zaidi.
Na haya yalikuwa majibu ya Nape, kuwa serikali haikuwa imeweka vikwazo vyovyote ila bwana Elon hakuwa na mpango wa kuanzicha huduma hiyo nchini: Waziri Nape: Elon Musk hakuwa na mpango wa kuweka ofisi Tanzania
Hata hivyo, Februari mwaka huu, akiwa bado Waziri, Nape Nnauye alisema Kampuni hiyo inakamilisha hatua za mwisho ili kupata vibali vya kutoa huduma nchini. Aliongeza kuwa ikishatimiza taratibu zote itaanza kutoa huduma na kwamba Serikali inasubiri wakamilishe tu taratibu hizo.
Sasa hivi Kampuni hiyo imeomba leseni tena na TCRA kwa sasa imeweka wazi kabisa uombaji huo tofauti na awali ambapo haikuwa wazi. Sasa maswali ya kujiuliza ni
- Bei zitapungua? Au wataambiwa waendane na bei za washindani zilizopo? Najua kwenye ubora jamaa atawapiga chenga
- Je, sasa hivi amekubali kujenga ofisi au ile ilikuwa janja janja ya kipindi kile?
Haina shida leseni washapewa kaka ππππππ
Nakumbuka Kuna wachina walibebwa aisee ππππ hivi ulisikia nao Qatar airways wamefungwa kwenye ndege zao hizi starlinkkwani lesseni Tayari Wamepewa starlink??
Ila hata kama Serkali ikiamua Kukusagia kunguni Kisheria wao walianza Matumizi Kabla ya Leseni kutoka..
So wanahesabika Ni makosa..
Maana tunaanza kuhesabu lini Wameanza kutumia Na Lini leseni imeanza Kutumika
Wengi watainunua sababu ya ushamba. Ili kujionyeshaMtu wa porini ndo atafaidika ila kama uko kati ya jiji hakika huhitaji
Hapa lazima serikali ya CCM iweke bei elekezi ili iwakamue zaidi wananchiBei zitapungua? Au wataambiwa waendane na bei za washindani zilizopo? Najua kwenye ubora jamaa
Full installation itagarim ngap?Kuna kiti yao maalumu kam utahitaji
Kikwazo kipo na ugali wa kulumangia na kachumbari.......