Bin Chuma75
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 995
- 1,067
No zenu za dharura ni zipi? Hii nayo ni changamotohabari yako, pole kwa usumbufu, ukishafanya malipo katika king'amuzi chetu, inakupasa usubiri si zaidi ya dk 15 kabla chaneli hazijaanza kuonyesha, endapo itachelewa basi kunakuwa na matatizo katika mifumo yetu, na tunakushauri ikitokea hivyo wasiliana na watoa huduma wetu moja kwa moja wafanye 'manual authorizations'
Hapo kweny kubadli kad utaratbu na gharama zipoje?habari yako, chanel hii ni local na huwa zinapatikana bure, isipokuwa pale tu kama ulinunua kile chenye bei maalum ambacho pia unaweza kubadilisha kadi na ukapata chanel zote za nyumbani bure
Mnacho bore ni hiki, Bollywood wanatoa movie nzuri sana kila siiku. Lakini nyie mnakomaa na movie zile zile,mara chamku,mara sikupendi mara hii unasema hii ya mwezi uliopita,nyingine ukiiona tu unasonya na kubadili chanel. Mnakera sana tena sana,tunalipia lakini matufanya sisi mazuzu
Mimi nataka kujua katika madish yenu hamna radio stations?
Hapo kweny kubadli kad utaratbu na gharama zipoje?
Naomba kujua kuna kifurushi cha Week cha elfu moja?? [HASHTAG]#startimes[/HASHTAG]
Asantehabari yako, gharama inategemea na aina ya kingamuzi ulicho nacho kama ni cha dish au cha antena! lakini gharama zetu ni
View attachment 597441
Mimi nawapa ushauri tu kwa nini msibuni ving'amuzi vya kwenye magari?
Nitapataje local chanel free
Sasa huu Ni ujinga yaani kucheki tatizo inachukua wiki nzima ebu acheni masihala aiseehabari yako,pole kwa usumbufu tunalifanyia kazi tatizo lako
Huku kwetu Tandale ving'amuzi vya anttena havitoi sauti TBC1 wala TBC2
Bahatu siyo ITV maana mngeua soko lenu
Yaan hyo 12000 ndo gharama ya kupata local Chanel's buree au ndo kila mwez tena?habari yako, tafadhari fika katika maduka ya startimes, gharama yake ni sh 12,000 tu
Habari zenu wanaJamiiForums
Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800
Ahsanteni sana na karibuni nyote.
Habari! Naombeni msaada juu ya hili king'amuzi changu cha startimes kuanzia juma tatu ya tarehe 2 mwezi huu jioni kinasoma channel tatu tu Stv guide,Tbc1 na Tv1 na wakati hapo awali kilikuwa kinaonyesha hizi channel TBC1,TV1,TVE,CLOUDS TV,ITV,EATV,TV IMANI,TABIBU TV tangu nimenunua mwaka 2011 naombeni msaada tafadhari maana litakuwa tena ni kopo tu na wakati nilikuwa napata hizi channel bure,Habari yako, tafadhari nyaya za sauti nyuma ya king'amuzi chako zi 'exchange' kama nyeupe umechomeka kwa nyeupe na nyekundu kwa nyekundu badilisha nyeupe chomeka kwa nyekundu na nyekundu kwa nyeupe!