Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Biblia inaonesha pia hata wayahudi walipomkosea Mungu walijipaka majivu kama ishara ya toba na majuto.(Esta 4:1-3,Mathayo 11:21,Luka 10:13,Yeremia
6:26,Isaya 61:3.Ezekiel 27:30
 
Sema wakristo wakatoliki. Sio wakristo wote maana kuna wasabato nadhani haya mambo wala hawayajui, kuna walokole, kuna mashahidi wa yehova, mormons nk. Usipende kauli jumlishi, ni dalili za ujinga.
Toa Wasabato maana Wasabato siyo Wakristo..


Hao wengine sijui Walokole....

Watasherekeaje Pasaka ambayo mlolongo wake lazima uanzie Ash Wednesday...??
 
Kusoma biblia ni jambo moja na kuielewa ni jambo la pili. Biblia imeandikwa kwa roho, katoliki siyo kanisa la kiroho.
Hivyo ni vigumu kuielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama ulikuwa hujui kuwa habari za Majivu na Magunia zipo kwenye bibilia huoni kuwa haupo Kiroho? Majivu ni alama ya Nje ya Toba

Nakuongezea mingine

Biblia inaonesha pia hata wayahudi walipomkosea Mungu walijipaka majivu kama ishara ya toba na majuto.(Esta 4:1-3,Mathayo 11:21,Luka 10:13,Yeremia
6:26,Isaya 61:3.Ezekiel 27:30
 
Kusoma biblia ni jambo moja na kuielewa ni jambo la pili. Biblia imeandikwa kwa roho, katoliki siyo kanisa la kiroho.
Hivyo ni vigumu kuielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuelewa...!! Hebu fafanua..


Halafu nikuambie kitu kimoja....

Biblia hii unayoiona iwe ya 66 books, 83 books(orthodox) au ya 72 books(catholics) ni Mali ya Kanisa Katoliki..

Kanisa Katoliki ndio iliyotupa/ipa dunia Biblia....Biblia ni Mali ya Kanisa Katoliki

Full Stop and Long Break
 
Kwahiyo Mungu ni wakatoriki? Nipe kitabu na aya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeee
 
Kwahiyo Mungu ni wakatoriki? Nipe kitabu na aya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha.....Mungu ni Wa Wote....Ila Kanisa ni la Kristo....Kanisa Katoliki ni la Yesu Kristo peke yake....

Wangine wote ni matokeo ya baadhi kujitenga na Kanisa Katoliki....

Mathayo 16:18
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
 
Kwanini ifuatwe Amri za kabisa badala ya Amri za mungu?
Amri za kabisa chanzo chake ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko kwenye bold

Tatizo unaandika huku una hasira na chuki...Huwezi lichukia Kanisa la Kristo kamwe..utakufa mapemaaa.....

Utaanzaje kulichukia....hujui Kanisa Katoliki ni Kama Oxygen ..

Ukitumia Biblia ujue umetumia Kitabu chao
Ukija Mahospitali..utakuta unawahitaji wao kuliko wao wanavyokuhitaji wewe..

Kwenye shule na vyuo sitaki kuongelea sana maana unaelewa mziki wake....Kwasasa Elimu bora ya Duniani Kote Inapatika Catholic Church na shule zake..

Si umeona matusi waliofanya St. Francis Mbeya.....

Kati ya Shule 100 bora...Kanisa Katoliki limetoa Shule 95...
 
Sema wakristo wakatoliki. Sio wakristo wote maana kuna wasabato nadhani haya mambo wala hawayajui, kuna walokole, kuna mashahidi wa yehova, mormons nk. Usipende kauli jumlishi, ni dalili za ujinga.
Kwahiyo wakristo wakatoliki siyo wakristo? Aliyejibu anajua mwuuliza swali ataelewa kuwa anaongelea wakatoliki ktk jibu lake kwasbabu hiyo ndiyo hoja ya mwuuliza swali. Sasa wewe una washwa washwa ili mradi tu utuonyeshe wasomaji wako kuwa unayajua madhehebu mbalimbali ya Kikristo!

Haya, binafsi nimejua, unayajua madhehebu ya Kikristo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanadamu nani ametupa haya mamlaka ya kuhukumu imani za watu???
Ingekua busara kuheshimu imani ya mtu na sio kutumia lugha za kejeli kiasi hiki..

Kama unaona dhehebu lako ndilo sahihi kuliko la mwingine ni vizuri kuwa kuheshimu wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…