TAJIRI MSOMI
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 496
- 515
Biblia inaonesha pia hata wayahudi walipomkosea Mungu walijipaka majivu kama ishara ya toba na majuto.(Esta 4:1-3,Mathayo 11:21,Luka 10:13,YeremiaMm sibishan njoo hapa na maandiko unioneshe maagizo ya kujipaka majivu
Nami nitakupa historia hadi papa aliyeanzisha huo upagani na aliutoa wapi
Maana ushadanganywa , kuabudu Masanamu, kusali rozali, kuasi amri za Mungu ,umeaminishwa ndio ukristo
Sent using Jamii Forums mobile app
6:26,Isaya 61:3.Ezekiel 27:30