Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Mm sibishan njoo hapa na maandiko unioneshe maagizo ya kujipaka majivu

Nami nitakupa historia hadi papa aliyeanzisha huo upagani na aliutoa wapi

Maana ushadanganywa , kuabudu Masanamu, kusali rozali, kuasi amri za Mungu ,umeaminishwa ndio ukristo

Sent using Jamii Forums mobile app
Biblia inaonesha pia hata wayahudi walipomkosea Mungu walijipaka majivu kama ishara ya toba na majuto.(Esta 4:1-3,Mathayo 11:21,Luka 10:13,Yeremia
6:26,Isaya 61:3.Ezekiel 27:30
 
Sema wakristo wakatoliki. Sio wakristo wote maana kuna wasabato nadhani haya mambo wala hawayajui, kuna walokole, kuna mashahidi wa yehova, mormons nk. Usipende kauli jumlishi, ni dalili za ujinga.
Toa Wasabato maana Wasabato siyo Wakristo..


Hao wengine sijui Walokole....

Watasherekeaje Pasaka ambayo mlolongo wake lazima uanzie Ash Wednesday...??
 
Kusoma biblia ni jambo moja na kuielewa ni jambo la pili. Biblia imeandikwa kwa roho, katoliki siyo kanisa la kiroho.
Hivyo ni vigumu kuielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama ulikuwa hujui kuwa habari za Majivu na Magunia zipo kwenye bibilia huoni kuwa haupo Kiroho? Majivu ni alama ya Nje ya Toba

Nakuongezea mingine

Biblia inaonesha pia hata wayahudi walipomkosea Mungu walijipaka majivu kama ishara ya toba na majuto.(Esta 4:1-3,Mathayo 11:21,Luka 10:13,Yeremia
6:26,Isaya 61:3.Ezekiel 27:30
 
Kusoma biblia ni jambo moja na kuielewa ni jambo la pili. Biblia imeandikwa kwa roho, katoliki siyo kanisa la kiroho.
Hivyo ni vigumu kuielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuelewa...!! Hebu fafanua..


Halafu nikuambie kitu kimoja....

Biblia hii unayoiona iwe ya 66 books, 83 books(orthodox) au ya 72 books(catholics) ni Mali ya Kanisa Katoliki..

Kanisa Katoliki ndio iliyotupa/ipa dunia Biblia....Biblia ni Mali ya Kanisa Katoliki

Full Stop and Long Break
 
Sijakuelewa...!! Hebu fafanua..


Halafu nikuambie kitu kimoja....

Biblia hii unayoiona iwe ya 66 books, 83 books(orthodox) au ya 72 books(catholics) ni Mali ya Kanisa Katoliki..

Kanisa Katoliki ndio iliyotupa/ipa dunia Biblia....Biblia ni Mali ya Kanisa Katoliki

Full Stop and Long Break
Kwahiyo Mungu ni wakatoriki? Nipe kitabu na aya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si nyie huwa mnalipinga agano la kale lakini mnadai lilikuwa kwa ajili ya waisraeli leo kwenye majivu mnalikubali ha ha hebu leta aya kwenye agano jipya watu wanajipaka majivu, na kwanini hamvai magunia leo na kujipaka majivu mwili mzima mnapaka usoni tu? Pakeni mwili mzima acheni usharo nyie
Aiseeee
 
Kwahiyo Mungu ni wakatoriki? Nipe kitabu na aya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha.....Mungu ni Wa Wote....Ila Kanisa ni la Kristo....Kanisa Katoliki ni la Yesu Kristo peke yake....

Wangine wote ni matokeo ya baadhi kujitenga na Kanisa Katoliki....

Mathayo 16:18
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
 
Kwanini ifuatwe Amri za kabisa badala ya Amri za mungu?
Amri za kabisa chanzo chake ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko kwenye bold

Tatizo unaandika huku una hasira na chuki...Huwezi lichukia Kanisa la Kristo kamwe..utakufa mapemaaa.....

Utaanzaje kulichukia....hujui Kanisa Katoliki ni Kama Oxygen ..

Ukitumia Biblia ujue umetumia Kitabu chao
Ukija Mahospitali..utakuta unawahitaji wao kuliko wao wanavyokuhitaji wewe..

Kwenye shule na vyuo sitaki kuongelea sana maana unaelewa mziki wake....Kwasasa Elimu bora ya Duniani Kote Inapatika Catholic Church na shule zake..

Si umeona matusi waliofanya St. Francis Mbeya.....

Kati ya Shule 100 bora...Kanisa Katoliki limetoa Shule 95...
 
Sema wakristo wakatoliki. Sio wakristo wote maana kuna wasabato nadhani haya mambo wala hawayajui, kuna walokole, kuna mashahidi wa yehova, mormons nk. Usipende kauli jumlishi, ni dalili za ujinga.
Kwahiyo wakristo wakatoliki siyo wakristo? Aliyejibu anajua mwuuliza swali ataelewa kuwa anaongelea wakatoliki ktk jibu lake kwasbabu hiyo ndiyo hoja ya mwuuliza swali. Sasa wewe una washwa washwa ili mradi tu utuonyeshe wasomaji wako kuwa unayajua madhehebu mbalimbali ya Kikristo!

Haya, binafsi nimejua, unayajua madhehebu ya Kikristo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jumatano ya majivu asili yake ni imani za kale za kipagani, iliingizwa katika taratibu za kanisa katoliki mwaka 325 AD, hii ni moja ha mapokeo mengi ya kanisa la roma ambayo hayana uhusiano wowote na kanisa la kwanza wala hayapo kwenye bibilia kama muongozo wa imani ya kikristo, Kanisa katoliki linatumia muongozo tofauti kabisa na bibilia ndo maana huwa nasema kanisa katoliki sio imani ya kikristo japo wanadanganya kwa kuweka katika nyumba zao za ibada picha na masanamu ya mtu wanaedai ni kristo ambae kiuhalisia sie kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanadamu nani ametupa haya mamlaka ya kuhukumu imani za watu???
Ingekua busara kuheshimu imani ya mtu na sio kutumia lugha za kejeli kiasi hiki..

Kama unaona dhehebu lako ndilo sahihi kuliko la mwingine ni vizuri kuwa kuheshimu wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom