School face
JF-Expert Member
- Sep 12, 2019
- 247
- 407
Star movie Nayo wametoa mkuuSijawahi ona usanii kama wa Startimes.
Channel kifurushi cha uhuru Tshs 18,000 World Football na Sports nyingine kwangu siku hizi hazionyeshi na nimelipia.
Na matangazo yenu mnajigamba kuwa zinaonekana kwa bei hiyo. Sasa nina kama mwezi na zaidi nilkuwa naangalia mmetoa.
Wametoa channels kama:
1. Nat Geo Wild
2. Clouds Tv
3. Fox Sports na nyinginezo kama 4 sizioni.
Sasa mateso ya nini? Mwezi huu nahamia Multichoice (DStv) au Azam Tv
AsanteElfu 44
Hizo zipo Azam tvDSTV watuletee fox news na espn africa
UMELIPA KWA MKONO WAKO KELELE UTUPIGIE SISI UNGEAHIMIA KIMYA KIMYA WANGEKURUDISHIA HIZO PESA??Sijawahi ona usanii kama wa Startimes.
Channel kifurushi cha uhuru Tshs 18,000 World Football na Sports nyingine kwangu siku hizi hazionyeshi na nimelipia.
Na matangazo yenu mnajigamba kuwa zinaonekana kwa bei hiyo. Sasa nina kama mwezi na zaidi nilkuwa naangalia mmetoa.
Wametoa channels kama:
1. Nat Geo Wild
2. Clouds Tv
3. Fox Sports na nyinginezo kama 4 sizioni.
Sasa mateso ya nini? Mwezi huu nahamia Multichoice (DStv) au Azam Tv
Niwapongeze tu kwenda dukani nakununus kinga"amuzi ch startimes!kwa hili mmefanya uthubutu!
Hahah Na wale wa ZUKU pia usiwasahau mkuu.
Ha ha haaa mkuu, acha tu.Niwapongeze tu kwenda dukani nakununus kinga"amuzi ch startimes!kwa hili mmefanya uthubutu!
Ahaa... Ntajitutumua siku ninazo nawekaHamia Azam uku dstv km ndio wahamia alafu ulipie 19000 uzushi mtupu
Mkuu, tuwahame tu hamna namnaMimi channels kama Aljazeera, Ze Cinema, TVC news, Star Rise, ST baby ,hazitoi sauti. Nilitembelea ofisi zao kuuliza hawakuwa na majibu ila wakawasiliana na makao makuu wakadai eti wameboresha tech ya urushaji wa matangazo kwa hiyo ving'amuzi vya zamani ndio maana baadhi ya channel zinasumbua kutoa sauti.
Suluhisho; Eti ninunue kinga'amuzi cha kisasa zaidi ndio zitatoa sauti.
Sasa maswali ni haya;
1. Hicho kinga'muzi nilitengeneza mimi?
2. Kwa nini wasitoe taarifa kuwa wenye ving'amuzi aina fulani wanapaswa ku update ili wapate huduma nzuri?
3.Je hizo gharama za ku upadate ziwe za mteja wakati ving'amuzi ni vya kwao?
Walichonichefua zaid ni kuondoa channelsle zenye akili kama Nat Geo Wild, Nat Geo Explorer, Fox Movies, na Fox News na kutuachia matakataka. Yaani sina hamu na Startimes.
Si haki kabisa kutowapa taarifa wateja.Star movie Nayo wametoa mkuu
Sio kila mada uchangie...UMELIPA KWA MKONO WAKO KELELE UTUPIGIE SISI UNGEAHIMIA KIMYA KIMYA WANGEKURUDISHIA HIZO PESA??
MAMBO MENGINE YA NYUMBAN MWENU YAVUMILIENI TU KAMA KUNA UDHAIFU
UMENSHTUA KAMA BADO UNATUMIA HIKO KISTAR....POLE LKN
Ahaa... Ntajitutumua siku ninazo naweka
AmeenWasalimie uendapo.
Hakika mkuu.Zamani btn 2005-2010 ukiwa na dish la dstv ilionekana ww unazo!ss hv wameshusha mno bei!jitahidi tu
Wachina wameshindwa kutowa mpunga wa kurenew mkataba.Nat Geo Wild haioneshi?????[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Ha ha haaa jamaa wanakera sanaStartimes msitudharau, sisi ndio wateja mkifanya mambo kwa mazoea mtabaki wenyewe nawambia
MkuuHata ukilipia haionekani?????[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]