Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Mi bado sijajua mwezi kwa startimes ni siku ngapi, mana hata nikilipa tarehe 20 mwezi unaofata tarehe 12 wanasema nilipe tena nikajaribu kuwapigia wakanipa maelekezo ambayo hayajasaidia sasa nafikiria kuweka dstv yaishe, nimechoka nao
 

Nina remot yenu haifanyi kazi kabisa tangu king'amuzi kinunuliwe ni mpya!
Mnanisaidiaje?

Pia kwann ,king'amuzi kipya hakibakizi local channels km vya zamani?
 
Azam anashika soko la visimbusi na tv kwa bongo kwa sasa......Kwa sisi tusioelewa tamthilia za kizungu wameweka Swahili subtitles imekaa Safi Sana hii.
 
Hii nchi ina viwanda vya kuzalisha uongo na uzandiki. Hivi unawezaje kuibua tuhuma ambazo huna uhakika nazo??.

Watanzania tuna matatizo ya kufikiri na kufanya maamuzi sahihi..

Kukosa Elimu ni nusu ya uwendaazimu...
 
startimes

Naomba kujuzwa namna ya kupata Radio kupitia King'amuzi chenu..
 
Last edited by a moderator:
eatv na star tv ni wiki ya pili sasa hazipo kwnye kingamuzi cha star times.
 
 

Hebu acha uongo mi mwenyewe toka juzi EATV, I TV haipo kabisa kwenye list napiga cm mnaniwekea mamiziki cm haipokelewi najuta kununua hili ling'amuzi mmenikera kweli bora mngekuwa wastaarabu mnapokea cm utadhani na angalia bure wapuuzi kweli
 
Customet care yenu mbovu mbovu mbovu...hawapokei cm..aliekua zamu jana.asubuh ameboa sanaaaa..fuatikieni

Hata customer care aliyekuwa leo asubuhi mpuuzi kweli nimekereka u napiga cm mara nyingi hadi zinakata nimekereka kweli leo
 
Jamani mm star tv,,,haishiki inaniambia "no servise" tatizo nn?
 
Hebu acha uongo mi mwenyewe toka juzi EATV, I TV haipo kabisa kwenye list napiga cm mnaniwekea mamiziki cm haipokelewi najuta kununua hili ling'amuzi mmenikera kweli bora mngekuwa wastaarabu mnapokea cm utadhani na angalia bure wapuuzi kweli

Mi nimefanya hivyo zikarudi zote zilizokuwa zimepotea (tbc2,AMC,star tv,aljazeera n.k)
 

Habari!
Mnapokua na ving'amuzi vya aina mbili tofauti yaani cha antena na dish ni vizuri pia mkaweka utaratibu kua kama ulikua na king'amuzi cha antena then ukahama maeneo ambayo kinafanyakazi na kwenda sehem nyingine ambako ni lazima utumie satellite dish kupata channel zenu basi uwepo utaratibu wa kubadirishiwa king'amuzi chako.hii itapunguza kua na ving'amuzi vingi vya kampuni moja.
 
Kwangu tbc 1&2, tv1,channel 10,startv,itv,eatv na clouds tv hazipatikani....napata cartoon channels tu.
Nimefanya hiyo auto search mpaka nimechoka.
 
Habari mm tatizo langu ni kuhusu bollwod Swahili watu mliowatumia kutafasili picha wanarafuzi mbaya haiendani na picha mfano sauti ya amitabh sauti inasikia haifanani na mtu mwenye umri wake halafu jamaa mliowatumia in Kenya kiswahili chao hakivutii,tupo Wa tz tumebibea kwanini msiwape nafasi?hao wakenya watafusili huko huko kwao
 
Startime wapo safi.ninayo zaidi ya miakail5 itv.eatv.star zipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…