Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari,
kuanzia juzi majira ya saa 6 mchana, channel ye EATV imeondolewa kutoka kwenye king'amuzi cha STARTIMES. tunahitaji majibu toka kwenu na mamlaka Husika TCRA. its not fair! STATIMES mna matatizo gani na hizi stations! tumekurupuka kuingia digitali!
mbona mimi naona zote ndugu ila hiyo EATV huwa sometimes inabadirika jina wewe bonyeza ile ile namba yake utaiona.
tumia ile atenna yao ya nje
Hili tatizo ni kwa wengi ,cha kufanya jaribu kuhamisha antenna yako toka upande mmoja kwenda upande mwingine utapata hiyo eatv ila usishangae kupoteza tbc na Chanel ten.Habari,
kuanzia juzi majira ya saa 6 mchana, channel ye EATV imeondolewa kutoka kwenye king'amuzi cha STARTIMES. tunahitaji majibu toka kwenu na mamlaka Husika TCRA. its not fair! STATIMES mna matatizo gani na hizi stations! tumekurupuka kuingia digitali!
ITV,Star pia zimeondolewa,wakati huu wa uchaguzi mtaangalia TBCCM mpende msipende after all star times ina wateja wengi