Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hata mimi imeshanikuta sana,nalipa kifurushi cha mwezi baada ya wiki mbili wanakata hata mwezi hautimii,ebu tuambieni ni nini hiki?
Naishi Posta.Dar
King'amuzi changu kinashika local channels vizuri ila NBA Tv ina scratch sana.Siwez ata kuangalia.Tatizo ni nini?
Nataka kujua napata wapi remote za startimes
habari yako je unaishi wapi, tafadhari tembelea maduka ya startimes utapata remote zetu kwa gharama ya Tshs 5000 tu
habari yako je unaishi wapi, tafadhari tembelea maduka ya startimes utapata remote zetu kwa gharama ya Tshs 5000 tu
Channel kama TV1 na Star Tv zina scratch sana, TBC 2 stereo yake mbaya sana. Pia customer care wenu hawana lugha nzuri. Jaribuni kurekodi simu zote za wateja mtabaini tatizo kubwa.
Mkuu nina swali. Nimeibiwa king'amuzi changu cha star times. Je, kuna uwezekano wa kukipata?Habari zenu wanaJamiiForums
Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie? Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi?
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
Ahsanteni sana na karibuni nyote