Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Mimi wanakata channel zote nikilipa baada ya wiki mbili wanakat tena..jana nimelipa wamenifungulia channel 3 tu.. hawa ni wezi wakubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu wanaJamiiForums
Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie? Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi?
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
Ahsanteni sana na karibuni nyote
Hawa STARTIMES nao ni majipuNgoja waje watujibu mm nashika tbc 1 na chanel 10. zaidi ya hapo naona maluwe luwe. Je nikiunga na lnb ya dish yoyote nitaona
Mlisema localchanel bure sasa mi napata Tbc peke yake tu jamani au ndo mpo kitapeli zaidi msitufanyie ivyo jamani.habari yako
tunaving'amuzi vya aina mbili, vinavyotumia antenna na vinavyotumia Dish
vinavyotumia Antena viko vya aina mbili
kuna vile ukinunua unafurahia chanel zaidi ya 75 mwezi mmoja kinauzwa tshs 59000
na kuna vile ukinunua unapata chanel 17 kwa muda wa miezi 7.5 vinauzwa tsh 34000 (kingamuzi na malipo humo humo)
vingamuzi vinavyotumia Dish
hivi vinauzwa TSHS 139000 pamoja na ufundi unapata na dishi lake
kama unadishi kinauzwa Tshs 96000
Ahsante
hili labda niwasaidie startimes kuwajibia. Ni hivi hivi vingamuzi vya promotion. Ukinunua ni vyakulipia kila mwezi.Mlisema localchanel bure sasa mi napata Tbc peke yake tu jamani au ndo mpo kitapeli zaidi msitufanyie ivyo jamani.
Napenda kuuliza kuhusu simu zenu za startimes kutokua na memory card. mi NAP G GHAYO .NAMBA YANGU NI 0676754632Habari zenu wanaJamiiForums