Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Mimi swali langu mbona mmedhamini ligi daraja la kwanza toka msimu ulipita hamjalipa pesa ya udhamin mpaka msimu mpya unaaza. Hamuoni ninyi ni jipu
 
Duh kweli kabisa mkuu
 
hello startimes, mie ninakaa Arusha nina king'amuzi chenu cha antena but wiki ijayo nataka nihamie Babati Manyara, ila kuna taarifa kuwa huko Babati king'amuzi cha antena hakitumiki, je kunaukweli wowote? na kama nilazima niwe na dishi je naweza nikanunua dishi nikatumia hiki hiki king'amuzi changu au? feed back please.
 
King'amuzi cha dish kwa mtandao wowote vipo tofauti ile sehemu ya kupachikia feeder upande was nyuma. King'amuzi cha antenna,feeder yake ni ya kupachika.

Na king'amuzi cha dish, feeder take in yakufunga kwa sikrubu. Hivyo basi vipo tofauti haviingiliani.
 
King'amuzi cha dish kwa mtandao wowote vipo tofauti ile sehemu ya kupachikia feeder upande was nyuma. King'amuzi cha antenna,feeder yake ni ya kupachika. Na king'amuzi cha dish, feeder take in yakufunga kwa sikrubu. Hivyo basi vipo tofauti haviingiliani.
asante kwa kutaka kunisaidia ila daah! sijakuelewa kabisa sababu lugha umeitumia sehemu zisizo zake ebu jaribu kuweka mambo sawa.
 
Kweli niliandikia nikiwa garini,sikuhariri nikapost, ndomaana nikachemka. Ikoivii? Kule nyuma ya king'amuzi kuna sehemu ya kupachikia cable wire,jina jingine inaitwa feeder.

Sasa kwa king'amuzi cha kutumia antenna sehemu ya kupachikia ina bracket,unapachika kwa kukandamiza. Kile king'amuzi cha kutumia dish sehemu ya kupachikia inafungwa kwa kutumia sikrubu. Hivyo basi vipo tofauti, king'amuzi cha antenna hauwezi kukipachika kwenye dish.

Ndg yang, Mimi ndonnavoelewa, kama kuna utaalam mwingine? Wana jf watakujuza.
 
Kweli niliandikia nikiwa garini,sikuhariri nikapost, ndomaana nikachemka. Ikoivii? Kule nyuma ya king'amuzi kuna sehemu ya kupachikia cable wire,jina jingine inaitwa feeder.
Sasa kwa king'amuzi cha kutumia antenna sehemu ya kupachikia ina bracket,unapachika kwa kukandamiza. Kile king'amuzi cha kutumia dish sehemu ya kupachikia inafungwa kwa kutumia sikrubu. Hivyo basi vipo tofauti, king'amuzi cha antenna hauwezi kukipachika kwenye dish.
Ndg yang,Mimi ndonnavoelewa, kama kuna utaalam mwingine? Wana jf watakujuza.
oyes, hapo sas nimekufahamu vzuri, asante kwa ushuhuda wako.
 
Ndugu mteja,muda wa kufurahia channeli kwa bure umeisha,lipia 6000 utafurahia chaneli 20 na za ndani kwenye kifurushi cha Nyota,lipia 12000 utafurahia mechi za Real Madrid, Barcelona na mechi nyingine za ICC kwenye kifurushi cha Mambo, piga 0764700800
 
hamfai kbs nyie
 
Hello startimes mimi nipo Mwanza lakini Clouds Tv haionekani lakin kwenye vipeperushi inaonyesha kuwa ipo lakin haionekan. Nina king'amuzi cha antena na ninatumia kifurushi cha Mambo
 
1471379173243.jpg
 
Tatizo langu nikiwa sijalipia cwez kupata local channel then sipati clouds tv.
 
Back
Top Bottom