olesiteti Jr
Member
- Jul 6, 2016
- 96
- 59
Iv kwa nn kusiwe na Huduma ya kulipia channel 1 kwa mfano MTV tsh 500 mwz na channel yeyote anayo penda mteja kwa nn ivyo ....wazo lang
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh kweli kabisa mkuuMimi swali langu mbona mmedhamini ligi daraja la kwanza toka msimu ulipita hamjalipa pesa ya udhamin mpaka msimu mpya unaaza. Hamuoni ninyi ni jipu
Naunga mkono hojaIv kwa nn kusiwe na Huduma ya kulipia channel 1 kwa mfano MTV tsh 500 mwz na channel yeyote anayo penda mteja kwa nn ivyo ....wazo lang
Mikataba haieshmiwi tzMimi swali langu mbona mmedhamini ligi daraja la kwanza toka msimu ulipita hamjalipa pesa ya udhamin mpaka msimu mpya unaaza. Hamuoni ninyi ni jipu
King'amuzi cha dish kwa mtandao wowote vipo tofauti ile sehemu ya kupachikia feeder upande was nyuma. King'amuzi cha antenna,feeder yake ni ya kupachika.hello startimes, mie ninakaa Arusha nina king'amuzi chenu cha antena but wiki ijayo nataka nihamie Babati Manyara, ila kuna taarifa kuwa huko Babati king'amuzi cha antena hakitumiki, je kunaukweli wowote? na kama nilazima niwe na dishi je naweza nikanunua dishi nikatumia hiki hiki king'amuzi changu au? feed back please.
asante kwa kutaka kunisaidia ila daah! sijakuelewa kabisa sababu lugha umeitumia sehemu zisizo zake ebu jaribu kuweka mambo sawa.King'amuzi cha dish kwa mtandao wowote vipo tofauti ile sehemu ya kupachikia feeder upande was nyuma. King'amuzi cha antenna,feeder yake ni ya kupachika. Na king'amuzi cha dish, feeder take in yakufunga kwa sikrubu. Hivyo basi vipo tofauti haviingiliani.
Kweli niliandikia nikiwa garini,sikuhariri nikapost, ndomaana nikachemka. Ikoivii? Kule nyuma ya king'amuzi kuna sehemu ya kupachikia cable wire,jina jingine inaitwa feeder.asante kwa kutaka kunisaidia ila daah! sijakuelewa kabisa sababu lugha umeitumia sehemu zisizo zake ebu jaribu kuweka mambo sawa.
oyes, hapo sas nimekufahamu vzuri, asante kwa ushuhuda wako.Kweli niliandikia nikiwa garini,sikuhariri nikapost, ndomaana nikachemka. Ikoivii? Kule nyuma ya king'amuzi kuna sehemu ya kupachikia cable wire,jina jingine inaitwa feeder.
Sasa kwa king'amuzi cha kutumia antenna sehemu ya kupachikia ina bracket,unapachika kwa kukandamiza. Kile king'amuzi cha kutumia dish sehemu ya kupachikia inafungwa kwa kutumia sikrubu. Hivyo basi vipo tofauti, king'amuzi cha antenna hauwezi kukipachika kwenye dish.
Ndg yang,Mimi ndonnavoelewa, kama kuna utaalam mwingine? Wana jf watakujuza.
hamfai kbs nyieNdugu mteja,muda wa kufurahia channeli kwa bure umeisha,lipia 6000 utafurahia chaneli 20 na za ndani kwenye kifurushi cha Nyota,lipia 12000 utafurahia mechi za Real Madrid, Barcelona na mechi nyingine za ICC kwenye kifurushi cha Mambo, piga 0764700800
jamaa wamesha ijua Ela Mkuu. Siku hizi wanatoza Fedha mpaka kwenye Local Chanel.
Kwa muda gani zinakuwa freeNafuu mimi natumia Dstv Wakikata wanakuachia Tbc na channel ten, hizo zina baki free.