Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Wela picha ya smart chip kwenye io card
Au mnasemaje mods
Au mnasemaje mods
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wela picha ya smart chip kwenye io card
Au mnasemaje mods
Piga picha ito kadi hapo kwenye chipCjakufahamu vizuri mkuu
chomeka kadi hadi mwisho, Jaribu kuivuta nje kidogo kama milimita 2 usivute sana.Wakuu msaada king’amuzi changu cha star time dish kinanletea sms ifuatayo card problem check card please insert your smart card again & make sure the direction is correct nafata hayo maelekezo lakin ngoma imegoma any solution pls
kama kuna muda mrefu chomoa kadi futa sehemu ya chip vizuri, tumia hata petrol kuosha rudisha itapiga kazi
chomeka kadi hadi mwisho, Jaribu kuivuta nje kidogo kama milimita 2 usivute sana.
Zima na kuwasha king'amuzi
From JF App
hakikisha umekiweka inavotakiwa kisha zima king'amuzi uwashe tena,(zima kwa kutumia ile power buttom)
Hili ndio jibu sahihi hata akipanguza na maji tu itakaa poakama kuna muda mrefu chomoa kadi futa sehemu ya chip vizuri, tumia hata petrol kuosha rudisha itapiga kazi
Habari zenu wanaJamiiForums
Je, una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800
Ahsanteni sana na karibuni nyote.
Binafsi nawashukuru kwa kuwa na njia hii ya mawasiliano. Kwa leo naomba kujua tu kwa mfano kuna channel siitaki iangaliwe nyumbani kwangu kama TBC nifanyeje kuiondoa kwenye orodha ya channel zilizopo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Very simple nenda channel setting kisha shusha kivuli kwenye chanel usiyoipenda bonyeza button ya blue then okBinafsi nawashukuru kwa kuwa na njia hii ya mawasiliano. Kwa leo naomba kujua tu kwa mfano kuna channel siitaki iangaliwe nyumbani kwangu kama TBC nifanyeje kuiondoa kwenye orodha ya channel zilizopo?
Waga nalipia kifurushi Cha tzs 9K Sasa nataka nikalipie Cha 18k napataje hiyo huduma?Habari zenu wanaJamiiForums
Je, una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800
Ahsanteni sana na karibuni nyote.
Umenena ukweli. Hata Mimi nimeona jinsi hili tangazo linavyoboa. Ni refu kama vile kipindi.Mimi ni mwangaliaji mkubwa wa channel zenu hasa swahili channel na mambo channel sasa hili tangazo Lenula mambo ya Solar refu mpaka linaboa yani kwanza kelele nyingi Kwa kifupi linaboa tangazeni vipande vifupi yani mkiweka TV Shopping watu wanahama chanel