Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati mwengine hii inaweza ikakusaidia *150*63# kwa kubadili kifurushiHabari zenu wakuu. Mimi namiliki king'amuzi cha Star times, lakini nimezoea kubadilishabadilisha malipo kutegemea na chaneli ninazozitaka kwa wakati huo. Naomba mturahisishie kwa kuweka options za kuchagua kifurushi anachokitaka mlipiaji badala ya kulazimika kuwapigia simu ili tuwaambie kifurushi tunachokitaka.
0764700800Naomba namba ya kuwasiliana na kitu cha huduma ya startime !
Nnavyojua mimi hiyo na gharama ya kufanya king'àmuzi chako kuwa na local channels hata kama kifurushi kikiisha na sio kubadili..Eti ni kweli mnapokea ving'amuzi vyenu vya zamani na kumbadilishia mteja kwa kumpa cha sasa na dishi lake huku mteja akiongeza elfu arobaini (40,000) tu?
Gharama zenu zikoje?Habari wanajamvi....?
Hii ni habari njema kwa wafanya biashara wenye maduka makubwa,kati na madogo yenye uhitaji,,,,
Kampuni yetu pendwa ya NEXIS tunapenda kuwataarifu kuwa tunawakaribisha ili muweze kununua software system kwa gharama rafiki ambayo itaweza kukusaidia kufanya record ya mahesabu kwenye mauzo ya duka lako pasipo na usumbufu na kuweza kukupa mahesabu sahihi ya stock yako iliyopo kwenye duka lako ,yaani itakusaidia kujua total ya mauzo yaliyofanyika kwa siku na pia inakuwezesha kujua stock iliyobakia kupitia computer yako iliyopo ofisini vile vile tunaweza kukuunganisha direct kupitia smart phone yako...
PoS system ni program yenye ubora zaidi na ni program rafiki kwa mfanya biashara kujua stock ya biashara yako kwa ujumla ..
nachukua fursa hii kuwakaribisha sana
kwa mawasiliamo zaidi piga 0692449416
gharama zetu completely payment yaani malipo kamilifu ni 4M pesa za kitanzania ila kama unakuwa hauna pesa ya kulipa malipo ya moja kwa moja unaweza kulipa kwa miezi mitatu mitatu yaani kila baada ya miezi mitatu unakuwa unafanya malipo mpaka utakapo maliza kwa kufika 4M hapo tunakuwa tumemalizana gharama za kila miezi mitatu ni 276,000/=..
Hivi ni kwanini mmeondoa Fox life wakati ndio chanel pekee ya maana mliyonayo??Habari zenu wanaJamiiForums
Je, una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800
Ahsanteni sana na karibuni nyote.
Hivi ni kwanini mmeondoa Fox life wakati ndio chanel pekee ya maana mliyonayo??
Naona toka tarehe 1 october mmeiondoa bila hata kututaarifu ili tusihangaike kulipia [emoji852][emoji852]
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Tatizo tamthilia ni zile zile... Uloingalia novella utaikuta zone mara tena Swahili mara Saivi fox mara Nina.... Tamthilia zile zile.... Fox ilikuwaga na tamthilia za kituruki... Sijui imekuaje hazipo tena saivi wameungana na zile za novela E..... Hakuna upelekee star timesOngezeni channel za movies,zilizopo hazijitoshelezi na hazina movie nzuri
Azam hapana, nna Dstv na startimes na zinatosha..... thanksJipange tukuuzie dstv ama azam tv maana ndo ving'amuzi vinavyoeleweka!
Halafu chanel hiyo tamthilia inarudiwa zaidi ya mara 5 na bado sio kwamba wanaitoa, wanaihamisha chanel tu [emoji852]Tatizo tamthilia ni zile zile... Uloingalia novella utaikuta zone mara tena Swahili mara Saivi fox mara Nina.... Tamthilia zile zile.... Fox ilikuwaga na tamthilia za kituruki... Sijui imekuaje hazipo tena saivi wameungana na zile za novela E..... Hakuna upelekee star times
Bei zinapanda kihohela hakuna msg... Ukilipia utashangaa ndani ya wk kimekata kumbe bei zimepanda.... Hela zinaenda wapi?!?
Badilikeni na ulie anzisha hii mada njoo utoe majibu