Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Nimelipia kifurushi cha Uhuru lakini baadhi ya Chanel hazifunguji; kikiisha hiki kifurushi ndio mwisho wa kutumia kifurushi chenu!
 
Hivi Bollywood swahili ile mlikua mnaonyesha movie za kihindi zilizotafsiriwa mmegoma kuileta tangu muiondoe
Habari yako f de solver; channel ya Bollywood; bado ipo ingawa kwa sasa imebaki lugha ya kiingereza tu.

Tunatambua wapenzi wengi wanapenda lugha ya kiswahili pia; tunalifanyia kazi hili pia

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Mbona redio mnatubania?..yani Kuna redio mbili tu TBC taifa na TBC fm
 
Mie king'amuzi changu kinaonesha tbc1 tu,mwanzo haikuwa hivyo nilikuwa naangalia local channels bila shida naomba mnirejeshee local channels namba ya king'amuzi ni 02035892652
 
Mjitajidi kukimbizana na technologia,, nimenunua king'amuzi cha startimes antenna hakina HDMI ni only AV, hakuna USB PORT, this is still analog
 
Back
Top Bottom